Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Lipo kigamboni maeneo Gani mkuu naweza kupatafuta ili niwapelekee CNN ili Dunia ijue Nini kinaendelea kigamboni
 
And you?
Unazidi kuonyesha kuwa unaumwa.
Mkuu,

Lucha haumwi Wala Hana tatizo la kisaikolojia. Huyo ni wale wanaume wapenda vya bure na mserrereko. Huyo alikuwa anaishi singida ila kwa sasa amepangiwa apartment maeneo ya ushuani huko na yule mtoto wa namba Moja na wanafanya michezo yao michafu kwenye hayo majumba. Wanaume wa hovyo!!

Haya yanayotokea anafurahia kwa sababu kwake anaona anaishi dream life. Lolote baya dhidi ya utawala maana yake atarudi singida kuchunga punda.

So,anachofanya ni kuwa upande wa ushetani na kuwapinga nyie mnaotetea haki.

Huyu siku tukipata uhuru ni wa kumalilizia kufunja hiyo spika iliyotobolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…