Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Huyo dogo anamegwa
 
Wanaposema Chura aliua maelfu Mo29, kwani allingia mtaani yeye binafsi kuua?
Wewe unaamisha magoal Mimi nimekuambia una uhakika gani yeye kafanya hapa nalenga amri sijui unashindwa vipi kuelewa unajua unaongea na mtu mwenye degree yake
 
Swali la kitoto...kwani nani alikuambia kua kila mtu anataka polepole arudi mtaani??
 
Wewe unaamisha magoal Mimi nimekuambia una uhakika gani yeye kafanya hapa nalenga amri sijui unashindwa vipi kuelewa unajua unaongea na mtu mwenye degree yake
Mwenye degree yake anayetaka kutafuniwa kila kitu halafu amezeshwe??
 
Bora umemjibu huyo chizi
Haya huyo Polepole Yuko wapi? Mnajaza ujinga na uongo ili kupooza nafasi zenu hivi kwa namna Polepole aliyokuwa anatoa Siri za watu na serikali unadhani watamuacha salama? Kama kibao alikuwa ana madhara na kauwawa isiwe kwa Polepole? Kodo dyako na wenzako tumieni akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…