pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
hahaaaaaaaaaaaaaaaaa! yajayo yanafurahisha!Bora Makonda mtetezi wa wanyonge na mkatishaji maisha ya wenzake apitishwe kugombania ubunge.
Huendi kazini? Au huko ndo kazini kwako bwashee.Kwa taarifa nilizopata usiku huu baada ya kuwasili hapa Dodoma ni kwamba wabunge wengi huenda wakafyekelewa mbali licha ya kuongoza kwenye kura za maoni..
Unataka kukomboa jimbo umekuwa msanii Nyerere?.Bwashee mimi niko Iringa kwa shughuli moja tu ya kukomboa jiimpo, hapa ugogoni nimeingia usiku huu kwa ajili ya kumshuhudia......Ni yeye Dr Magufuli akichukua fomu.
ccm na rushwa sio rahisi kuvitenganisha.Kwa taarifa nilizopata usiku huu baada ya kuwasili hapa Dodoma ni kwamba wabunge wengi huenda wakafyekelewa mbali licha ya kuongoza kwenye kura za maoni...
Bila shaka wewe ni mjyane.Magu kiboko yao
Kila mmoja wetu ataamua aangalie nini na kwa wakati wake. In fact ndivyo ilivyo tokea!Aisee.. Hivi si na ACT watakuwa mubashara muda huo huo!
Mmmh, ubebeWagombea wote walitoa Rushwa,kilichotoa matokeo ni ukubwa na udogo wa Rushwa,kinachofanyika Dodoma ni kupitisha anaowataka mwenyikit wa chama na wapambe wake
Tatizo wanaCCM mmekubali chama chenu kuwa Cha mtu binafsi. Zamani ccm ilikuwa na kauli mbiu kuwa "CCM Ni watu" siku hzi "CCM Ni mtu (ya Magufuli)".
Naye Sasa anawatambia kwamba hata ukishinda kura za maoni akiamka vibaya hakuteui. Hii dharau sasa
Ulikuwa hujui CCM na rushwa Ni Chanda na Pete.