Uchaguzi 2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

Uchaguzi 2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

Ni ngumu mno mno kutenganisha rushwa na ccm.
Kumbekeni rushwa ilizaliwa ccm
Ikabatiziwa ikaitwa takrima
 
liko wazi lazima nanihii arudi kwa gharama za wengine wazungu wanaita "justification"...

Hamna shida wale wajumbe wanakwenda kuunganisha nguvu na raia hapo lazima cheche zitokee..
 
Bwashee mimi niko Iringa kwa shughuli moja tu ya kukomboa jiimpo, hapa ugogoni nimeingia usiku huu kwa ajili ya kumshuhudia......Ni yeye Dr Magufuli akichukua fomu.
Unataka kukomboa jimbo umekuwa msanii Nyerere?.
 
Kwa taarifa nilizopata usiku huu baada ya kuwasili hapa Dodoma ni kwamba wabunge wengi huenda wakafyekelewa mbali licha ya kuongoza kwenye kura za maoni...
ccm na rushwa sio rahisi kuvitenganisha.
Hata no.1 wao wa uraisi jana ameendelea kutoa rushwa ya shs 100m pale Dumila.
 
Kwa taarifa yako ndani ya CCM hakuna mgombea ambaye hakutoa rushwa, tofauti iko kwenye kiwango cha rushwa, waliopita walitoa rushwa kubwa, walioshindwa ni wale wenye rushwa ndogo.

CCM na rushwa ni sawa na mfuniko wa chupa ya bia ambayo ukitaka kunywa bia lazima utenganishe mfuniko na chupa kwa kufungua mfuniko.

Rushwa ndani ya CCM haiwezi ikamalizwa kwa kukata majina ya wagombea waliowashinda wenzao kwa kutumia rushwa kubwa,kwa kuifuta CCM tu,ndiko kutakakomaliza rushwa ya CCM.
 
Wagombea wote walitoa Rushwa,kilichotoa matokeo ni ukubwa na udogo wa Rushwa,kinachofanyika Dodoma ni kupitisha anaowataka mwenyikit wa chama na wapambe wake
 
Sasa mbona mwenyekiti yeye anaendelea kugawa tena hadharani kila anapopita na msafara wake? Acheni kuonea watu..
 
Na itaonekana Ndungulile ametoa rushwa Kigamboni 😂😂😂😂
 
Members,
Ni dhahiri shahiri katibu wa uenezi wa ccm Humphrey Polepole mambo yamefika shingoni kabla ya uchaguzi wa 2020

Amehojiwa na Muandishi wa Dar mpya kuwa kama mkoloni alijenga reli na barabara lakini kitendo cha kunyima watu uhuru watanganyika waliamua kuwafukuza wakoloni,Je haoni serikali ya ccm inafanya kama ya mkoloni

Majibu ya polepole fungueni video chini ameanza kufoka huku mishipa imesimama ,Hii ni dhahiri hoja kwa hoja hakuna katibu muenezi ccm

Pia ameulizwa kuwa hata Africa ya kusini makaburu walifanya maendeleo makubwa lakini kauli zao za kibaguzi kwa watu fulani na dharau na majivuno,Watu wa Afrika kusini waliamua kuandamana na kuwatoa,Je haoni ndio ccm inakifanya

Majibu ya polepole yamekuwa ni kufoka na kukasirika ,Akaamua kuweka mpira kwapani,Hivi kwa muundo huu wa kushindwa kujibu hoja kuna katibu uenezi ccm

 
Diwani kata ya ikuti amekuwa diwani miaka 15.

Wananchi wamemchoka kwa kuwa amekuwa si rafiki na wananchi wake bali mtawala.

Wamemkataa amenunua kura za wajumbe wakatoka draw na mshindani wake.

CCM mlivyo wapuuzi eti wakamuambia Diwani ajipigie kura ana haki ila mshindani wake hana haki.

Akashinda kwa kura Moja 😆 AIBU CCM INAYOHUBIRI RUSHWA NI ADUI WA HAKI.

Mmeleta TAKUKURU FAKE HUKU nayo imelishwa TUNDA ikazuga kuleta haki kwa wana LUSWISI.

Sasa Diwani ni miaka 20 yupo madarakani darasa la saba sijui atapanga nini juu kizazi hiki kinachokimbizana na utandawazi.

Au ndio sehemu yenu wewe POLEPOLE NA BASHIRU ALLY ya kulia pesa toka kwa watia nia wasiojielewa?

Alafu MH. JPM anajigamba ana wapinga rushwa wanaomuunga mkono?

NI VILE UPINZANI UMEJIKITA SANA MJINI VINGINEVYO HUU ULIKUWA NDIO WAKATI WA CCM KUPIGWA CHINI ENEO LA RUNGWE KATA YA IKUTI maana tamaa zenu za kuwaletea wananchi mtetezi mnaomtaka ninyi mngelipwa.
 
Tatizo wanaCCM mmekubali chama chenu kuwa Cha mtu binafsi. Zamani ccm ilikuwa na kauli mbiu kuwa "CCM Ni watu" siku hzi "CCM Ni mtu (ya Magufuli)".

Naye Sasa anawatambia kwamba hata ukishinda kura za maoni akiamka vibaya hakuteui. Hii dharau sasa
 
Tatizo wanaCCM mmekubali chama chenu kuwa Cha mtu binafsi. Zamani ccm ilikuwa na kauli mbiu kuwa "CCM Ni watu" siku hzi "CCM Ni mtu (ya Magufuli)".

Naye Sasa anawatambia kwamba hata ukishinda kura za maoni akiamka vibaya hakuteui. Hii dharau sasa

Inatia hasira alafu wajumbe wana kiburi.

Eti kesho matokeo yanatoka lazima mtu wetu ashinde.

Kisa ana shirikiana na SAULI MBUNGE.

ALIJIHAKIKISHIA KUWA LAZIMA ALE MIAKA MINGINE 5 iwe 20 ndipo astafu.

Kamjii haka kaikuti kanakuwa kwa kasi ila viongozi hakuna aisee.

Hawana plani ya mji ila wanasubiri wananchi walalame ndipo wafanye.
 
Back
Top Bottom