Nimwombe, ajikite kwenye sera za Chama Chetu. Mambo ya kujibu mapigo au kuzungumzia vyama vingine "SIYO KAZI YAKE" ni kazi ya Msajili wa vyama na NEC.
Nipo mubashara Uhuru fm.
Kumuelewa inataka mtu asie na msongo wa mawazo.Hivi ameongea nini cha maana?
Mimi nimesikia tu anaongelea HAWA JAMAA , Mgonjwa na Jina la Mbowe.
Nimwombe, ajikite kwenye sera za Chama Chetu. Mambo ya kujibu mapigo au kuzungumzia vyama vingine "SIYO KAZI YAKE" ni kazi ya Msajili wa vyama na NEC.
Ambacho kitanichekesha ni pale Chadema itacounter kwa kusema kua TID hana hatimiliki na hilo neno kisha inaletwa hatimiliki ya hilo neno ambayo itaonyesha TID ana hatimiliki tangu 2003.
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari.
Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa kufuatilia.
Umesikia nondo alizopiga komredi Polepole?Tuko busy na ACT hao Polepoleccm tupa kule.
Hizo za kujaza wasanii zaidi ya 100 Uhuru Stadium??Umesikia nondo alizopiga komredi Polepole?
CCM ina hazina kubwa ya viongozi
Utaona sasa kama msajili atakionya CCM na kumkanya Polepole kwa kutumia Lugha za maudi/kejeki/kichochezi,ila subiri sasa Lissu atumie lugha kama hio kwa mwenyekiti wa Ccm uone msajili atakavyokurupuka kule aliko.Nimemsikiliza Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, "akijimwambafai" katika mkutano wake na waandishi wa habari, ambao kwa asilimia zaidi ya 90, aliutumia kwa kukiponda chama cha Chadema na kuwaita viongozi wake kuwa ni wahuni na chama hicho ni uvumilivu tu ndiyo "unaowalazimisha" kuwa kiwepo, bila hivyo chama hicho hakina hata uhalali wa kuwepo hapa nchini!..