Uchaguzi 2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu


[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mwenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimesikitishwa na kitendo cha Chadema kupora kaulimbiu ya TID ijulikanayo kama Ni Yeye

Polepole amesisitiza kuiburuza CCM mahakamani ili TID apate haki yake.

Maendeleo hayana vyama!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila siasa bana
 
Sasa Ni Basi hatuna haja kuwafuatilia Tundu Lissu tosha alipo tupo
 
Vipi ameeleza pia ni nani anaumiliki wimbo wa Taifa? Yaani mwenye hati miliki ya wimbo huo?
 
Kwa hiyo utakuwa pia na picha y Lissu na bendera ya CHADEMA kama back ground??
 
Hivi Nape yuko wapi?
Ccm haija wahi kuwa na mwenezi ubuyu kama huyu.. Hivi Ccm hamuoni jamaa ana waharibia?? /
 
Ajikite kwenye mambo ya msingi kama ukosefu wa ajira na mengine
 
Nimeona taarifa ya CCM kuhusu Mh. Magufuli kuchukua fomu kesho taarifa imenifanya niwaze kidogo. Nilitegemea Dodoma ingesimama wakati wa Lissu kuchukua fomu kwa umati wa watu utakaojitokeza ila inaelekea hilo ni marufuku.

 
Dr Magufuli ambaye ndiye Rais wa JMT anayetetea nafasi yake kesho atachukua fomu za kugombea urais katika ofisi za tume ya uchaguzi jijini Dodoma.

Atakwenda ofisi za NEC saa 3.00 asubuhi akisindikizwa na watu wachache kisha atakutana na wanachama wa CCM katika ukumbi wa makao makuu ya chama.

Source ITV habari.

My take; Acha Kazi Iendelee, niko Isimani safarini jijini Dodoma kwa ajili ya shughuli ya kesho.

Maendeleo hayana vyama!
 
Lisu for life[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…