Nkuhungu sehem ganPale nkuhungu nina kakibanda bwashee lakini CCM ni chama kubwa!
Wewe humjui mbunge wa Iringa mjini?Unalikomboa kutoka kwa nani ?
Maana ninavyojua wagogo hata uweke mti ugombee kupitia Ccm wao watachagua mti
Mhurumie tu asilale njaa maana Ccm ina wenyeweNjoo hapa chako ni chako ule kuku
Kwa taarifa nilizopata usiku huu baada ya kuwasili hapa Dodoma ni kwamba wabunge wengi huenda wakafyekelewa mbali licha ya kuongoza kwenye kura za maoni.
Chama kina kila aina ya ushahidi wa vitendo vya rushwa kwa baadhi ya wagombea na wengi hawataamini macho na masikio yao baada ya orodha ya wateule kutoka.
Kesho nitawaletea taarifa rasmi, muda huu acha nipige pasi sare ya chama tayari kwa shughuli ya kesho.
Ni yeye Dr Magufuli.
Maendeleo hayana vyama!
Msigwa iringa ni kisiki cha mpingo hang'oleki utang'oka weweWewe humjui mbunge wa Iringa mjini?
Wana njaa Sana hawa jamaaMhurumie tu asilale njaa maana Ccm ina wenyewe
TID Mnazidi kumukwaza hili neno msilitumie bila kulipiaHii signature ya " Ni yeye" imekwishapatiwa muafaka?
Nilijenga kwa mkopo wa Azania bwashee!Sawa bwashee
Hicho kibanda ni hisani au jasho lako?
Muafaka gani mzeeHii signature ya " Ni yeye" imekwishapatiwa muafaka?
TID Mnazidi kumukwaza hili neno msilitumie bila kulipia
Uongo haukusaidii njoo hapa chako ni chako ule kuku weweNilijenga kwa mkopo wa Azania bwashee!
Posho wanapata tzs 7000 kwa sikuWana njaa Sana hawa jamaa
Atakuja wewe subiri akuje pmUongo haukusaidii njoo hapa chako ni chako ule kuku wewe
Uje ulale hapa ulanga lodge
Chako ni chako ukilewa utavunjika mguu bwashee!Uongo haukusaidii njoo hapa chako ni chako ule kuku wewe
Uje ulale hapa ulanga lodge
Hicho ni kijiwe cha makamanda hadi wanateguka miguu!Atakuja wewe subiri akuje pm
Uliona wapi wagombea wako 70 lakini wa kwanza anapata kura 800, wa pili kura 7, wa tatu kura 1 na waliobakia kura 0?!!!Ni ukweli, sio tulia, manyanya, six, ndumbaro na wengine wengi.Rushwa zimetembea kwelikweli
Bwashee kuwa mkweli Azania wanakupa mkopo kwa kazi gani unafanya?Nilijenga kwa mkopo wa Azania bwashee!
Mnahofu mpaka mnawavunja miguuHicho ni kijiwe cha makamanda hadi wanateguka miguu!