Uchaguzi 2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

Uchaguzi 2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

Kwa taarifa nilizopata usiku huu baada ya kuwasili hapa Dodoma ni kwamba wabunge wengi huenda wakafyekelewa mbali licha ya kuongoza kwenye kura za maoni.

Chama kina kila aina ya ushahidi wa vitendo vya rushwa kwa baadhi ya wagombea na wengi hawataamini macho na masikio yao baada ya orodha ya wateule kutoka.

Kesho nitawaletea taarifa rasmi, muda huu acha nipige pasi sare ya chama tayari kwa shughuli ya kesho.

Ni yeye Dr Magufuli.

Maendeleo hayana vyama!

Kwani majina ya wagombea ubunge waliopitishwa kupeperusha bendera yanatangazwa lini??
 
Back
Top Bottom