Kwa CCM ya sasa naona kwa mbaaali angalau Polepole anaweza kubeba mikoba ya Marehemu!
Sema sjui kama wahuni watamuacha.. Mungu akiamua atakuwa hata wampinge vipi. Ninachoamini hata wazee wengi wanamuona kuwa a deal maker for presidency. Nape asijidanganye akadhani wazee wanamuona wa maana, wanamuona mpumbavu mmoja hivi!