Humphrey Polepole for future presidency

Humphrey Polepole for future presidency

Kwa CCM ya sasa naona kwa mbaaali angalau Polepole anaweza kubeba mikoba ya Marehemu!

Sema sjui kama wahuni watamuacha.. Mungu akiamua atakuwa hata wampinge vipi. Ninachoamini hata wazee wengi wanamuona kuwa a deal maker for presidency. Nape asijidanganye akadhani wazee wanamuona wa maana, wanamuona mpumbavu mmoja hivi!
 
Kwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.

Polepole for future presidency

#kataawahuni

Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni

Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
Kuna wanaoamini URAIS wa NCHI hapa duniani unatoka kwa Mungu wetu. WAJINGA. Natumia neno zuri WAJINGA.
URAIS wa nchi unapatikana kwa HILA, GHILBA, UJANJA na wakati mwingine KIJINAI, kwa RUSHWA na kwa KUUA wengine inapolazimika kufanya hivo.
Tusimhusishe Mungu wetu kwa MAOVU haya
 
Back
Top Bottom