Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,701
Ndio wasomi wetu hao zama hizi bdo mtu anakuleteq hbar za mila na desturiHizo habari za utamaduni na desturi hazina nguvu kama katiba inamruhusu kugombea.
Kama Polepole hataki Makamu wa rais agombee urais, ajiunge kwa wanaodai mabadiliko ya kikatiba jambo hilo liwekwe kwenye katiba.
Nchi haitakiwi kuendeshwa kwa desturi na utamaduni ambao haujaandikwa popote.
Katiba haijaongea lolote kuhusu habari za awamu.Kwanza kabisa kwa mujibu wa katiba ya TZ, neno awamu 6 lisingerumika ss
Ni ujinga mtupu.Ndio wasomi wetu hao zama hizi bdo mtu anakuleteq hbar za mila na desturi
Mmmh hivi ww ndo yule wanasemaga ni great thinker mzee mungu mjuzi wa yote n.k...Simtetei Samia. Samia can go to hell for all I care.
Natetea utawala wa sheria na kufuata katiba.
Samia anaruhusiwa kugombea kikatiba.
Hicho ndicho kitu muhimu.
Hizo habari za utamaduni na desturi hazina nguvu kama katiba inamruhusu kugombea.
Kama Polepole hataki Makamu wa rais agombee urais, ajiunge kwa wanaodai mabadiliko ya kikatiba jambo hilo liwekwe kwenye katiba.
Nchi haitakiwi kuendeshwa kwa desturi na utamaduni ambao haujaandikwa popote.
Mimi si Great Thinker. Great Thinker kwangu ni tusi.Mmmh hivi ww ndo yule wanasemaga ni great thinker mzee mungu mjuzi wa yote n.k...
Hopeless nigga.
Really? So it's staged!!?Divide and rule
Ungempuuza basi, mbona uko hapa kujibu!Polepole Yuko overated! Hajui hata kwamba Nchi inaongozwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Nchi haiongozwi kwa Katiba ya CCM wala utamaduni wa CCM .
Rais Samia amepewa nafasi ya kugombea tena muhula mmoja kutokana na Katiba ya JMT.
Halafu Polepole ajue kwamba Rais Samia alishavuka ngazi ya Makamu wa Rais na asimlinganishe tena na akina Dr.Mpango.
Polepole alikurupuka kujiuzuru ubalozi na hana hoja yoyote ya msingi.
Ana nguvu kiasi gani aweze kusimamisha nchi ?
Polepole muhuni tu angekua mzalendo angesimama na no reforms no Election
Na wanaomsikiliza wanamsikiliza kishabiki zaidi ndio maana ukweli km huu hawawezi kuuonaNi ujinga mtupu.
Yani hajui kuwa CCM haina utamaduni wa kukosoa viongozi nje ya vikao.
Sasa kama anapenda sana utamaduni mbona hajafuata utamaduni huo?
Kwa watu wanaotaka mabadiliko, kuongoza nchi kwa utamaduni ni tatizo.
Kwa nini Polepole anazungumzia habari za utamaduni?
Mnawasikiliza mpaka watu waliochanganyikiwa??Wakuu!
Humphrey Polepole amesema alijiuzulu Ubalozi wa Cuba ili awe huru kuzungumza kwamba kuna tatizo kubwa katika Taifa letu na sio dhambi kujirekebisha.
Sasa leo saa 2:00 usiku usikae mbali nami hapa nitakuletea kila atakachokizungumza.
Updates... Polepole
Utamaduni, desturi na katika ya Chama cha Mapinduzi Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM kipindi hiki kwa msingi kuwa amekuwa Makamu wa Rais, Mungu akampromote kuwa Rais, tunapokwenda kubadilisha awamu tunakwenda kusema tumewaletea hawa, tutakimbia kwa mwendokasi huu.
"Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire', tunataka mtu ambaye anchukizwa na ulegelege huu"
, Salamu ya 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.... Kazi iendelee!' inamkiuka Mungu
Hizi habari za kutaka kuongoza nchi kwa utamaduni ambao haujaandikwa popote ndiyo chanzo cha kumtungia mgombea usiyemtaka utamaduni wowote tu ili umtoe.Na wanaomsikiliza wanamsikiliza kishabiki zaidi ndio maana ukweli km huu hawawezi kuuona
Hakika na kwa mtindo huu hta haya baadhi matukio yanayoendelea sasa ya utekaji na mauaji hayawezi kukoma sababu ya hizi tamaduni na desturiHizi habari za kutaka kuongoza nchi kwa utamaduni ambao haujaandikwa popote ndiyo chanzo cha kumtungia mgombea usiyemtaka utamaduni wowote tu ili umtoe.
Ndiyo hizi habari zilizomtoa Samuel Sitta kwenye Uspika kwa utamaduni aliotungiwa juu kwa juu kwamba CCM inathamini wanawake na inataka kwenda na Spika mwanamke. Kikwete alinfanyia zengwe tu kwa gia ya utamaduni.
Ukishaanza kuruhusu mambo ya kuendesha chama na nchi kwa utamaduni wakati kuna katiba, unaruhusu watu kufanyiana figisu za aina zote kwa gia ya utamaduni.
Ukitubu unasamehewaPole pole ni mnafiki Sana. Huyu ndio alipambana kuiua CHADEMA kipindi Cha Magufuli, Sasa hivi anajifanya mwanademokrasia. Very stupid guy.
Naam,Hakika na kwa mtindo huu hta haya baadhi matukio yanayoendelea sasa ya utekaji na mauaji hayawezi kukoma sababu ya hizi tamaduni na desturi
...Not just like the rest of your irrelevant crewNi irrelevant huyo