Humphrey Polepole: Kazi ya shule ya uongozi itawafurahisha wenye mamlaka, ukiona unataka kuruka na mimi kwenye mtandao ujue wewe sio kiongozi

Haka kajamaa kanatumiwa ni timu fulani, katageuziwa kibao hakatoamini. TII MAMLAKA! hususani kama wewe ni CCM kwakua wote ni waovu na wezi.
Mnapata wapi ujasiri wakumuona polepole ni mbaya kuliko nyie mnaosema hichi leo kesho mkageuka mkasema tofauti na jana? Kuna watu mabingwa wa kubadilisha ndimi kuzidi Chadema?
 
Kajamaa kanawasumbua timumama kinoma
 
Kila maamuzi na matokeo yake, matokeo humnufaisha au kumuadibisha mtoa maamuzi.

Kila la heri polepole.
 
Slow Slow ukimwangalia kwa sasa unaona kabisa amechanganyikiwa hayuko timamu huyo.
 
Unaijua VIEITE wewe ?
 
Hii shule ya uongozi ina kibali kufanya kazi nchini? inafadhiliwa na nani maana huyu mzee kazidi kuchonga mno.
 
Haka kajamaa kana Roho ya Kichawi,unakumbuka kalipokuwa kanajifanya kupiga magoti kwenye kampeni za 2020 mbele ya mwendazake?

Halafu nyuma ya pazia kanamshauri aibe Kura, Bogus kabisa.

Ati... "iwapo Uchaguzi utakuwa huru na wa haki, basi CCM ijiandae kukabizi Dola kwa CHADEMA" ..kalinukuliwa hako Kachawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…