Humphrey Polepole: Kazi ya shule ya uongozi itawafurahisha wenye mamlaka, ukiona unataka kuruka na mimi kwenye mtandao ujue wewe sio kiongozi

Humphrey Polepole: Kazi ya shule ya uongozi itawafurahisha wenye mamlaka, ukiona unataka kuruka na mimi kwenye mtandao ujue wewe sio kiongozi

Eti ukweli!

Ila tusimshangae sana madaraka na kuwa na power kutamu sana asikwambie mtu.

We fikiria mwezi wa pili mwaka huu alikuwa na uwezo wa kumpigia simu waziri yeyote na kumuuliza kwanini hufanyi hiki na kile na waziri anaufyata.

Leo hata jokate ana nguvu kuliko polepole.

Lazima uchanganyikiwe tu na kujifanya msema ukweli kumbe mnafki tu mmoja.
Ukweli ni kwamba huyu jamaa kavurugwa njia ya milembe nyeupe soon!
 
Hiko kipindi alitakiwa akiongoze kipindi kile akiwa katibu mwenezi
 
Sawa Ila Mimi ninavyo fahamu hapa Kuna polepole watatu
1. Yule polepole kipenzi Cha watanzania wa tume ya katiba mpya. (Warioba)
2. Yule polepole wa mwenda zake alieikana katiba.
3. Na huyu wa sasa mwalimu wa shule ya viongozi.
Hawa polepole watatu wakikutana watapigana mpaka watoane roho,Bora tu tumuombee wasikutane kabisa.
🤣🤣🤣🤣🤣 ebu agiza tonic ya baridi nakuja kukulipia hivi vijamaa sijui vina ubungo wa myama gani
 
Ukinyanganywa ugali lazima ulielie

Ova
 
Sawa Ila Mimi ninavyo fahamu hapa Kuna polepole watatu
1. Yule polepole kipenzi Cha watanzania wa tume ya katiba mpya. (Warioba)
2. Yule polepole wa mwenda zake alieikana katiba.
3. Na huyu wa sasa mwalimu wa shule ya viongozi.
Hawa polepole watatu wakikutana watapigana mpaka watoane roho,Bora tu tumuombee wasikutane kabisa.
Hahahahahah

Labda anajaribu kurudi namba 1
 
Huyu ni Musiba wa serikali ya awamu ya sita ila kaja kwa style tofauti na Musiba wa serikali ya awamu ya tano
 
Back
Top Bottom