Familia ya Watanzania,jiandae kisaikolojia Kama unachuki naye Anza kujipatanisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia ya Watanzania,jiandae kisaikolojia Kama unachuki naye Anza kujipatanisha.
Ukweli ni kwamba huyu jamaa kavurugwa njia ya milembe nyeupe soon!Eti ukweli!
Ila tusimshangae sana madaraka na kuwa na power kutamu sana asikwambie mtu.
We fikiria mwezi wa pili mwaka huu alikuwa na uwezo wa kumpigia simu waziri yeyote na kumuuliza kwanini hufanyi hiki na kile na waziri anaufyata.
Leo hata jokate ana nguvu kuliko polepole.
Lazima uchanganyikiwe tu na kujifanya msema ukweli kumbe mnafki tu mmoja.
Watanzania waongozwe na uchafu ule?! We una funza kichwani.Familia ya Watanzania,jiandae kisaikolojia Kama unachuki naye Anza kujipatanisha.
Labda rais wa chama Cha kucheze lede Tz.Rais ajaye msiniuluze mwaka!
Ila ndo hivyo.
Jiandae kisaikolojia kiongozi,nyota ya huyu kijana inatisha.Labda rais wa chama Cha kucheze lede Tz.
Uliwahi ona mtu mwenyewe funza kichwani? Hapana shaka ni wewe na ukoo wako,mie ndo nasikia.Watanzania waongozwe na uchafu ule?! We una funza kichwani.
Ndy si wewe!! Mafi yako.Uliwahi ona mtu mwenyewe funza kichwani? Hapana shaka ni wewe na ukoo wako,mie ndo nasikia.
Majabu yako tu yanaonyesha unalaana na utakufa ukidanga.Ndy si wewe!! Mafi yako.
Ni kweli inatisha sana Kama ya deo kisandu vile.Jiandae kisaikolojia kiongozi,nyota ya huyu kijana inatisha.
🙀🙀🙀Ni kweli inatisha sana Kama ya deo kisandu vile.
🤣🤣🤣🤣🤣 ebu agiza tonic ya baridi nakuja kukulipia hivi vijamaa sijui vina ubungo wa myama ganiSawa Ila Mimi ninavyo fahamu hapa Kuna polepole watatu
1. Yule polepole kipenzi Cha watanzania wa tume ya katiba mpya. (Warioba)
2. Yule polepole wa mwenda zake alieikana katiba.
3. Na huyu wa sasa mwalimu wa shule ya viongozi.
Hawa polepole watatu wakikutana watapigana mpaka watoane roho,Bora tu tumuombee wasikutane kabisa.
HahahahahahSawa Ila Mimi ninavyo fahamu hapa Kuna polepole watatu
1. Yule polepole kipenzi Cha watanzania wa tume ya katiba mpya. (Warioba)
2. Yule polepole wa mwenda zake alieikana katiba.
3. Na huyu wa sasa mwalimu wa shule ya viongozi.
Hawa polepole watatu wakikutana watapigana mpaka watoane roho,Bora tu tumuombee wasikutane kabisa.