Humphrey Polepole kuongea Star Tv saa 3:30 usiku

Humphrey Polepole kuongea Star Tv saa 3:30 usiku

Chakubanga in fleek Hajulikani mzee au kijana[emoji23][emoji23][emoji23]Yani akienda kama anarudi akirudi kama Anaenda
 
Wanaompinga Polepole ndo Urojo gang wenyewe ni watu wavivu wasiopenda kazi Bali wapiga porojo majungu fitina wachawi wauza madawa ya kulevya wezi ndo wanaompinga polepole.
 
Chadema wapuuzi Sana mtu kila siku anaalikwa na media we unasema ameishiwa ......hawa jamaa watuharibia Sana siasa za upinzani katika nchi hii

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata mwalimu wangu dr.bana aliaalikwa na media kila mara lakini hakuwa anaongea cha maana zaidi ya kusifia na kuabudu.
Hizo media zenyewe zilivyo weak usikute anawaandalia hata maswali mf. Ile interview ya wasafi aliaandaa aulizwe nn na akawa ana tiririka humo!!!!
Sabaya alitoa ml 50ml kulipa clouds ili ajisafishe itashindikana vipi kwa huyu mshenzi
 
Wanaompinga Polepole ndo Urojo gang wenyewe ni watu wavivu wasiopenda kazi Bali wapiga porojo majungu fitina wachawi wauza madawa ya kulevya wezi ndo wanaompinga polepole.
Polepole mwenyewe hawezi kazi bali porojo ,majungu ,kununua wapinzani....hadaa kuwasaidia wale "wabunge wa viti maalum"......
 
Polepole mwenyewe hawezi kazi bali porojo ,majungu ,kununua wapinzani....hadaa kuwasaidia wale "wabunge wa viti maalum"......
Ndio mnajua leo hilo, wakati anawanunua wapinzani si ndio mlikuwa mnadai ccm inakubalika , mara ghafla mmepiga U turn!? Acheni unafiki.
 
Back
Top Bottom