Humphrey Polepole, kwa kuwa CCM imekataa kutupatia katiba mpya wananchi wanayoitaka, njoo upinzani ili usaidie katiba hiyo ipatikane

Mwanasiasa akikusalimia habari za jioni,ufungue pazia uchungulie nje kuona kama kweli jioni imefika.
 
Hivi kweli anafanya na jiwe sasa hivi huyu?!!! Unafiki njaa mbaya!!??
 
Tiutasubiri saaana. Lakini iko siku Mwenyezi Mungu atasikia kilio cha wanyonge. Viongozi hawahawa wataanzisha mchakato wa katiba ambayo ndiyo itawaondoa madarakani. Mungu hajashindwa kutenda haki kwa waja wake tangu aiumbe dunia. Tunavuta subira siku hiyo inakuja na mtashangaa sana. Sema AAMEEEN... Aaaameeen. Amina. Amina. Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…