Humphrey Polepole naye ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili?

Kama ni kweli,nimeumia sana .kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression??

Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa .
Wewe hiyo umeiona kwa hao akina gwajibo,polepole na silas pekee yao ndio wanaohitaji hiyo freedom,wanaonyanyaswa kila siku huwaoni,zaidi hayo wanayofanya kwao in maigizo.
 
Kama ni kweli,nimeumia sana .kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression??

Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa
hakuna namna, tumemwita tutamuhoji, tutamfungia vikao kadhaa, yeye anajua huo ubunge tumempaje? au anachokumbuka yeye ni ma V8? kila akilala anakumbuka ma V8..... eehe
 
Kama ni kweli,nimeumia sana .kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression??

Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa .
Ukiwa kwa upanga nawe uta uwawa kwa upanga. Maandiko hayaja wahi kusema uongo. Magu yuko wapi?
 
Kama ni kweli,nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.

Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression?

Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa .

Ndoto za mchana kweupe
 
Polepole is nothing but a POOR GAMBLER trying to make use, as much as he could, of whatever little influence left behind by Jiwe to scare others and hence gain access to the social ladder!
VERY PATHETIC!
 
Back
Top Bottom