Humphrey Polepole naye ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili?

Polepole ana nguvu ya kuanzisha chama kikubwa ? haya mawazo mnayatoa wapi ninyi BAVICHA
 
Kama ni kweli, nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.

Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression?

Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa.
Ukipinga chanjo tu wewe ni adui wa chama.
Wakisahau Mwendazake ndo msingi wa Polepole na akina Gwajima, na ndo msimamo wa wengi ndiyo maana chanjo zimedoda.
 
Kamati aliyokuwa akiwahukumu wenzie, Wembe aliotumia kuwanyoa wenzie ndio unamyoa yeye leo.

Kweli dunia mviringo
 
Kama ni kweli, nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.

Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression?

Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa.
Chama gani tena cha upinzani kinachozidi kubwa la wana
 
Ukipinga chanjo tu wewe ni adui wa chama.
Wakisahau Mwendazake ndo msingi wa Polepole na akina Gwajima, na ndo msimamo wa wengi ndiyo maana chanjo zimedoda.
Kwa hiyo chanjo imeletwa na CCM? Hovyo kabisa
 
Kama ni kweli, nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.

Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression?

Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa.
Aemde funguo za V80
 
Sasa Polepole kafanya kosa gani? maana sijaona kuwaambia watu wasichanje au kutoa tuhuma kama Gwajima
 
Ushasema chanjo ni hiari unalazimisha nini watu kutoa mtazamo wao
Ni kweli chanjo ni hiari, lakini wengine kutoa maelezo ya kupotosha kunawafanya hata wale waliyopanga kucxhanja kuacha kuchanja. Kuna kila aiana ya faida kuchanja. Kwa hiyo ni juu ya serkali kueneza faida za chanjo. Gwajima yeye akafundishe Biblia na kuipa uzima misukule, asiingilie serkali. Ndiyo maana kuna "separation of state/gevernment and religion. Lakini naona Gwajima anaingi;lia kazi ya serkali.
 
Kama ni kweli, nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.

Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression?

Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa.
Hao wakati ule wako kwenye helm si walituaminisha kuwa demokrasia ya kimagharibi hatufai afrika,

Sasa wahitaji hiyo demokrasia pale maslahi yao yamebinywa

Wahenga walisema usitukane mamba kabla hujavuka mto
 
Kama ni kweli, nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.

Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression?

Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa.
Hakuna mtu kutoka ccm mwenye uthubutu wa kulala jela kama akina Freeman Mbowe na wenzake wa CDM,
 
Kuna siku Bashiru nae ataitwa kuhojiwa na CCM.
Watch this space. Na usishangae siku hiyo akifukuzwa uana chama
 
Sio mshabiki mkubwa wa Pole×2 lakini nampongeza kwa kuwa consistent na msimamo wake
 
Hii kamati kwanini haikumgundua kada wao na mfadhili wa chama ndugu Hamza?
 
Kuna siku Bashiru nae ataitwa kuhojiwa na CCM.
Watch this space. Na usishangae siku hiyo akifukuzwa uana chama
Bashiru ni wa kufukuzwa kabisa. Ana kundi lake na anachochea upinzani na itikadi mbovu dhidi ya Mama.
 
Back
Top Bottom