Babu umeamka mapema hivi jamani?Acha uzushi wewe Bavicha!
Mbege ya jana haikuwa kali manka usingizi umekata mapema!Babu umeamka mapema hivi jamani?
Cheo ni dhamana akome
Wewe hiyo umeiona kwa hao akina gwajibo,polepole na silas pekee yao ndio wanaohitaji hiyo freedom,wanaonyanyaswa kila siku huwaoni,zaidi hayo wanayofanya kwao in maigizo.Kama ni kweli,nimeumia sana .kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression??
Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa .
hakuna namna, tumemwita tutamuhoji, tutamfungia vikao kadhaa, yeye anajua huo ubunge tumempaje? au anachokumbuka yeye ni ma V8? kila akilala anakumbuka ma V8..... eeheKama ni kweli,nimeumia sana .kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression??
Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa
MuulizeDhamani ya kufanya nini
Unawaza pombe tu badala ya shida za wananchiMbege ya jana haikuwa kali manka usingizi umekata mapema!
Ukiwa kwa upanga nawe uta uwawa kwa upanga. Maandiko hayaja wahi kusema uongo. Magu yuko wapi?Kama ni kweli,nimeumia sana .kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression??
Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa .
Kama ni kweli,nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.
Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression?
Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa .