Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajanvi kuna mtu mwenye kujua umri wa Polepole na cv yake aniwekee hapa?
Najaribu kuchanganua mambo flani
Hata ukipata cv yake haitokusaidia. Wee jua tu kuwa ccm wametenga zaidi ya bil150 na Lipumba keshalamba bil3.
Hapo ukue pole pole keshalamba mil 1 yake huyu hana dau kubwa nyau tu
Kazaliwa 1982Wanajanvi kuna mtu mwenye kujua umri wa Polepole na cv yake aniwekee hapa?
Najaribu kuchanganua mambo flani
Kazaliwa 1982
mbona mbabu hivyo au karithi uchawi wa kiccm?
Jana ndio Polepole kaboa maana alionekana Channel 10 kumvamia Lowasa moja kwa moja na nung'ang'ania pamoja na Moderator wake kujitahidi kumkumbusha abakie neutral, hata wapiga simu walimkumbusha sana na kumwambia ukweli kwamba amechemka jana lakini wapi. Ni kijana mweredi sana lakini sijui jana alikula maharage ya wapi yuleeeeee? Hata hivyo nikisikia Polepole anaonekana kuongea kwenye channel yoyote huwa naahirisha shughuli zote nimtazame na kumsikiliza. Jana sijui bana, kweli siku zote sio Jumatatu. Sina kizuizi na Tuzo, ana haki, lakini ajitahidi kuepuka ukurunziza wa kuattack mtu pasipo sababu zenye tija. Mara alinganishe malaika wa giza na Lowasa, anageuka Nape Nnauye???? Amejiwekea doa hapo na ajitahidi kufuta kwa detergent ya ukweli
Humphrey Polepole ni zaidi ya wabunge wote wa CHADEMA ... ukimtoa Tundu Lissu.
mbona mbabu hivyo au karithi uchawi wa kiccm?
Polepole ni inteligent na hazina nzuri akiwa kijana kwa taifa letu na alichozungumza jana ndio ukwel wenyewe msijifanye kujitoa ufahamu huyo mkimbizi wa siasa kamwe hatokuja kushinda msipoteze muda wenu na hicho chama chenu cha ukanda