video hii hapaWakuu,
Habari za mida hii ! Leo napenda kuuliza juu ya elimu ya ndugu yetu Humphrey Polepole anayehudumu kama Muenezi wa CCM mpya, ambaye awali kabla ya kuja kwenye chama chetu alijizolea sifa kadhaa katika mchakato ule wa Katiba kwa misimamo yake thabiti mpaka kupelekea kuthubutu kutamka hadharani kwamba `` Uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi Ikulu " .
Nnahitaji kufahamu elimu yake kama ambavyo miaka ile tulivyohoji elimu ya Mh Mnyika na akaja hapa jukwaani na kutudadavulia na tukaridhika japo hoja ilitoka kwa Nape na Ridhiwani lakini woote tulishiba majibu ya Mnyika. Nadhani ni wasaa mzuri kabisa nae Bw Polepole aje atufahamishe juu ya elimu yake ili kuondoa ile dhana kwamba aliishia kidato cha 6 na kuangukia pua.
Bw wewe Polepole uje hapa jukwaani tunasubiri majibu yenye tija na sio longolongo.
Nawasilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Last but not leastAddis Ababa, Ethiopia
Akimaliza Polepole tupate na ya Freeman Mbowe maana yeye ni Mwenyekiti wa chama cha siasa ambacho siku moja kinaweza kushika dola. Hivyo, ni vizuri tukaijua elimu yake mapema na ukichukulia huu ni mwaka wa uchaguzi.Wakuu,
Habari za mida hii ! Leo napenda kuuliza juu ya elimu ya ndugu yetu Humphrey Polepole anayehudumu kama Muenezi wa CCM mpya, ambaye awali kabla ya kuja kwenye chama chetu alijizolea sifa kadhaa katika mchakato ule wa Katiba kwa misimamo yake thabiti mpaka kupelekea kuthubutu kutamka hadharani kwamba `` Uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi Ikulu " ...
Watu wakikuchukiachogo kama fundichuma
Mimi nilitegemea niipate kutoka BBC DIRA hawa ndiyo magwiji wa habariNaomba kujua CV YA POLEPOLE
Naomba kujua CV YA POLEPOLE
Huyu mtu anashangaaza sana kwa hoja zake, kiwango chake cha elimu kinatia wasiwasi!Na hapa sasa ndipo Siasa zetu za Kitanzania zinapofeli na tunadharaulika. Tunaacha Kujadili Issues tunapoteza muda Wetu Kujadili Personalities.
Huyu mtu anashangaaza sana kwa hoja zake, kiwango chake cha elimu kinatia wasiwasi!
Ndo matatizo ya kutafuta wastani wakati una nambari moja tu! Mtu akitukana rais siku moja tu, anaitwa shujaa. Mwingine akitoa msaada siku moja tu, anaitwa agombee ubunge. Tuna matatizo ya kukosa umakini.Unatakiwa uelewe niliandikia kipindi gani kabla ya kunishambulia mkuu. Usilolijua ni usiku wa giza. Wewe mwenzangu ulijua kama Polepole wa Tume ya Warioba anaweza kuwa hivi alivyo sasa?