Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni nani?

Mimi ninaamini katika hekima, busara na subira, ukiwa kiongozi ukakosa hivyo vitu basi hata kama elimu yako imepita watu wote bado hufai kuwa kiongozi. Lakini ukiwa kiongozi ukajaaliwa kuwa na hivyo vitu baaasi wewe utakuwa mtu muhimu katika jamii hata kama elimu yako ni ya kujua kusoma na kuandika tu.
 
Elimu yake itakusaidia nini ujui wenye elimu ndio wamevuruga utawala wa huu zaidi Jiwe Dr, Bashiru Dr, Kabudi, Mwakyembe, Mpango, Etc! wanakuwa wapumbavu.
 
Wakuu,
Habari za mida hii ! Leo napenda kuuliza juu ya elimu ya ndugu yetu Humphrey Polepole anayehudumu kama Muenezi wa CCM mpya, ambaye awali kabla ya kuja kwenye chama chetu alijizolea sifa kadhaa katika mchakato ule wa Katiba kwa misimamo yake thabiti mpaka kupelekea kuthubutu kutamka hadharani kwamba `` Uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi Ikulu " .

Nnahitaji kufahamu elimu yake kama ambavyo miaka ile tulivyohoji elimu ya Mh Mnyika na akaja hapa jukwaani na kutudadavulia na tukaridhika japo hoja ilitoka kwa Nape na Ridhiwani lakini woote tulishiba majibu ya Mnyika. Nadhani ni wasaa mzuri kabisa nae Bw Polepole aje atufahamishe juu ya elimu yake ili kuondoa ile dhana kwamba aliishia kidato cha 6 na kuangukia pua.

Bw wewe Polepole uje hapa jukwaani tunasubiri majibu yenye tija na sio longolongo.

Nawasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
video hii hapa
 

Attachments

  • Apandacho mtu ndicho atakachovuna ( 268 X 480 ).mp4
    370.1 KB
Wakuu,
Habari za mida hii ! Leo napenda kuuliza juu ya elimu ya ndugu yetu Humphrey Polepole anayehudumu kama Muenezi wa CCM mpya, ambaye awali kabla ya kuja kwenye chama chetu alijizolea sifa kadhaa katika mchakato ule wa Katiba kwa misimamo yake thabiti mpaka kupelekea kuthubutu kutamka hadharani kwamba `` Uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi Ikulu " ...
Akimaliza Polepole tupate na ya Freeman Mbowe maana yeye ni Mwenyekiti wa chama cha siasa ambacho siku moja kinaweza kushika dola. Hivyo, ni vizuri tukaijua elimu yake mapema na ukichukulia huu ni mwaka wa uchaguzi.
 
Hivi hata wajinga wajinga km huyu naye anaitwa mheshimiwa?
 

Attachments

  • 2344511_FB_IMG_1584778698643.jpeg
    2344511_FB_IMG_1584778698643.jpeg
    20.9 KB · Views: 7
1920-alizaliwa
1940-akaanza shule ya msingi
(ukihesabu miaka kwa calendar ya jecha)
 
Na hapa sasa ndipo Siasa zetu za Kitanzania zinapofeli na tunadharaulika. Tunaacha Kujadili Issues tunapoteza muda Wetu Kujadili Personalities.
Huyu mtu anashangaaza sana kwa hoja zake, kiwango chake cha elimu kinatia wasiwasi!
 
Huyu mtu anashangaaza sana kwa hoja zake, kiwango chake cha elimu kinatia wasiwasi!

Ukimjadili Polepole tu kwa Kuangalia Kiwango chake cha Elimu ndiyo CHADEMA / CUF / NCCR-Mageuzi / ACT itaiondoa CCM Madarakani Ndugu?
 
Unatakiwa uelewe niliandikia kipindi gani kabla ya kunishambulia mkuu. Usilolijua ni usiku wa giza. Wewe mwenzangu ulijua kama Polepole wa Tume ya Warioba anaweza kuwa hivi alivyo sasa?
Ndo matatizo ya kutafuta wastani wakati una nambari moja tu! Mtu akitukana rais siku moja tu, anaitwa shujaa. Mwingine akitoa msaada siku moja tu, anaitwa agombee ubunge. Tuna matatizo ya kukosa umakini.
 
Rejea hoja zako na uzilinganishe huyu wa sasa, ndio utajua binadamu walivyo.
 
Huyu Babu kijana mbona siku hizi hoja zake zinayeyuka?
 
Nataka kujua Curriculum vitae (CV) ya huyu anayejiita Karibu wa Itikadi wa CCM ambaye kutwa kucha anatukana watu kutwa kucha. CV ainaweza kusaidia angalau kukadiria uwezo wa IQ yake.
 
huwezi ukaipata,watu wengi wametafuta wamekosa,lakini kuna mdau humu kama miaka 2 iliyopita aliwahi kusema hako kajamaa kalikuwa kanauza dukani/kanafanya biashara kwenye duka la shemeji/ndugu yake kabla ya kuwa hapo kalipo
 
Kama kuongoza watu kunahitaji CV kubwa basi Mbowe angekua mtunza bustani pale chadema.
 
Back
Top Bottom