Barwani sasa hivi ni Doctor of Philosophy (Phd) , aliipata huko marekani, kwa sasa sijui yuko wapi hebu jaribu kumgoogle au kumfacebook
asante kwa taarifa hiki kaka...ila kile kizazi sijui kama kitatokea tena aisee
Huyo jamaa alikuwa anaitwa NOVA na alikuwa ni lebo nyekundu.Yap,Nyakia namkumbuka alikuwa label nyeusi.Ila Polepole alikuwa darasa moja na yule jamaa kibonge mfupi,aliyekuwa GS wa serikali ya wanafunzi.
ni ukweli Anayosema huyu kijana na ukweli haujifichi serekali Tatu nimaoni yawananchi siyo ya chama chochote cha siasa nashanga upande wa pili wao wakichukulia siasa
Pole pole alikuwa ni rebo nyeusi kaka.
Kama unakumbuka alikuwa pamoja na kiranja mmoja alikuwa mnoko sana baadae akapata div4 alikuwa anaitwa Nyakia.
Tamka kimoyo-moyo neno "lebo/label" mara 5 kisha usirudie tena huu ujinga wako hapa.
Huu ni mtanmdao wa great thinkers. Home of Constructive minds. Enyi vitoto vijinga: Ujinga ujinga wenu wa facebook msilete humu nyie.
Huyo jamaa alikuwa anaitwa NOVA na alikuwa ni lebo nyekundu.
kwa maana hiyo na Polepole alikuwa ni rebo nyekundu.
Kwa bahati mbaya Polepole alipoenda kusoma A-level alichaguliwa Benjamini mkapa high school katika mchepuo wa PCB.
Huku akiwa anasoma, alikuwa bize sana na harakati mbali mbali hasa za kupambana na ukimwi kwa kuratibu midahalo na mijadala mbali mbali.
Niliwahi kuhuzulia mjadala aliouandaa ulifanyika mnazi mmoja jina la ukumbi sikumbuki.
Kutokana na ubize ule hatimaye Polepole alifeli mtihani wake wa kidato cha sita, alipata division 0.
Maadam CCM ipo bado madarakani hakuna namna serikali 3 itapita. Watatumia mbinu zote ikiwezekana KUIBA & KUHONGA. Nyi ongeeni yote but serikali 2 ndio CCM wanaitaka kwa mustakabali wao
alikuwa Black au Green, 1999 nilikuwa njuka rebo ya Blue,Red form two, yy alikuwa form threeUmenikumbusha kaka alikuwa label nyekundu kma sikosei!
Hapana sio NOVA,ye alikuwa anatokea pande za SINZA...me nlikuwa hyo lebo nyekundu na akina Godbless Charles MD,Mjawadu mustafa,fresh mutta,la rhumba(wa daz nundaz),mtanga comedian,Caesar,Andrew method MD.
Ilikuaje mkuu? Hebu eleza kidogo, nina shauku ya kumjua huyu kijana mahiri asiye na woga, aliyejitoa kupigania Taifa lake.
Kweli kaka!Kijana ana akili kiliko Nape na Mwigulu 100
alikuwa Black au Green, 1999 nilikuwa njuka rebo ya Blue,Red form two, yy alikuwa form three
mtanga huyu huyu wa ze comedy show ya channel 5?.la rhumba nampata sana.nasikia siku hizi amekuwa mdau mkubwa sana wa viloba vya burudani kule mitaa ya kwao kimara.yaani 24/7 yupo geji.lol
Siasasi marikitu juu ya Taaruma jama anapenda taaruma yake zaidi ya Siasa
Humphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa.
Kipekee nampongeza sana kwani tume ilikuwa na wajumbe wengi lakini wengine wako kimya ila Bwana Polepole amekabiliana nao na anaendelea kukabiliana nao dhidi ya upotoshaji, kwangu mimi Bw Polepole anastahili tunzo ya heshima.
Nawakaribisha wadau kwa maoni.
mungu akulinde polepole.yasije yakakupata ya dr ulimboka.mungu awe nawe amee