Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni nani?

Yap,Nyakia namkumbuka alikuwa label nyeusi.Ila Polepole alikuwa darasa moja na yule jamaa kibonge mfupi,aliyekuwa GS wa serikali ya wanafunzi.
Huyo jamaa alikuwa anaitwa NOVA na alikuwa ni lebo nyekundu.
kwa maana hiyo na Polepole alikuwa ni rebo nyekundu.

Kwa bahati mbaya Polepole alipoenda kusoma A-level alichaguliwa Benjamini mkapa high school katika mchepuo wa PCB.

Huku akiwa anasoma, alikuwa bize sana na harakati mbali mbali hasa za kupambana na ukimwi kwa kuratibu midahalo na mijadala mbali mbali.
Niliwahi kuhuzulia mjadala aliouandaa ulifanyika mnazi mmoja jina la ukumbi sikumbuki.

Kutokana na ubize ule hatimaye Polepole alifeli mtihani wake wa kidato cha sita, alipata division 0.
 
ni ukweli Anayosema huyu kijana na ukweli haujifichi serekali Tatu nimaoni yawananchi siyo ya chama chochote cha siasa nashanga upande wa pili wao wakichukulia siasa

Hiyo ndio siasa haswa! Upande wa pili wanajua bila kupepesa macho kuwa muundo wa serikali tatu ndiyo maoni ya wananchi. Lakini wakati huo huo wanajua kuwa kukubali serikali tatu ndilo litakuwa kaburi lao. Serikali 3 hazina maslahi kwao, yawe ya muda mfupi au mrefu! nani mwenye akili timamu akubali kuzikwa akiwa hai? Hiyo ndio siasa - mchezo mchafu sana.
 
Pole pole alikuwa ni rebo nyeusi kaka.
Kama unakumbuka alikuwa pamoja na kiranja mmoja alikuwa mnoko sana baadae akapata div4 alikuwa anaitwa Nyakia.

Tamka kimoyo-moyo neno "lebo/label" mara 5 kisha usirudie tena huu ujinga wako hapa.
 
Tamka kimoyo-moyo neno "lebo/label" mara 5 kisha usirudie tena huu ujinga wako hapa.

....na wewe tamka kimoyo-moyo neno "MTANDAO" mara 5 kisha usirudie tena huo ujinga wako hapa.
Usifanye unajua kila kitu wakati na wewe huwa unakosea. hebu angalia hapo chini kama hukuwa kupost hiyo.

Huu ni mtanmdao wa great thinkers. Home of Constructive minds. Enyi vitoto vijinga: Ujinga ujinga wenu wa facebook msilete humu nyie.
 
Huyo jamaa alikuwa anaitwa NOVA na alikuwa ni lebo nyekundu.
kwa maana hiyo na Polepole alikuwa ni rebo nyekundu.

Kwa bahati mbaya Polepole alipoenda kusoma A-level alichaguliwa Benjamini mkapa high school katika mchepuo wa PCB.

Huku akiwa anasoma, alikuwa bize sana na harakati mbali mbali hasa za kupambana na ukimwi kwa kuratibu midahalo na mijadala mbali mbali.
Niliwahi kuhuzulia mjadala aliouandaa ulifanyika mnazi mmoja jina la ukumbi sikumbuki.

Kutokana na ubize ule hatimaye Polepole alifeli mtihani wake wa kidato cha sita, alipata division 0.

Hapana sio NOVA,ye alikuwa anatokea pande za SINZA...me nlikuwa hyo lebo nyekundu na akina Godbless Charles MD,Mjawadu mustafa,fresh mutta,la rhumba(wa daz nundaz),mtanga comedian,Caesar,Andrew method MD.
 
Maadam CCM ipo bado madarakani hakuna namna serikali 3 itapita. Watatumia mbinu zote ikiwezekana KUIBA & KUHONGA. Nyi ongeeni yote but serikali 2 ndio CCM wanaitaka kwa mustakabali wao

Mkuu hilo lisikukatishe tamaa. Yalishatokea nchi nyingi sana duniani, mabadiliko yakishafikia muda wake hakuna kitakachozuia. Phylosopher mmoja aliwahi kuandika kuwa kwenda kinyume na mabadiliko yaliyo dhahiri ni sawa na kula supu ukitumia kisu chenye ncha kali.
 
Hapana sio NOVA,ye alikuwa anatokea pande za SINZA...me nlikuwa hyo lebo nyekundu na akina Godbless Charles MD,Mjawadu mustafa,fresh mutta,la rhumba(wa daz nundaz),mtanga comedian,Caesar,Andrew method MD.

mtanga huyu huyu wa ze comedy show ya channel 5?.la rhumba nampata sana.nasikia siku hizi amekuwa mdau mkubwa sana wa viloba vya burudani kule mitaa ya kwao kimara.yaani 24/7 yupo geji.lol
 
Ilikuaje mkuu? Hebu eleza kidogo, nina shauku ya kumjua huyu kijana mahiri asiye na woga, aliyejitoa kupigania Taifa lake.

Polepole ni hazina kubwa ya taifa mm binafsi nilianza kumfaham 1999 pale Azania nikiwa kdto cha kwanza,jamaa ni nguli wa midaalo(debates) haa
.. si mchezo Mzizima,Tambaza,Loyola,Shaban Robert,St Anthony n.k walikuwa wanakaa. Alileta computer km tatu kwa shule km zawadi za ushindi enzi hizo computer si mchezo. Kwa ufupi jamaa anajenga hoja na lugha ya ngeli km alizaliwa huko
 
Hapa ndo mtajua Mitaala yetu ya kishenzi... Jembe kama Polepole nae alipata Division O kidato cha Sitta!!! Kuna majembe wengi nilikuwa nao Tambazo nao walipata "O" form Six LAKINI sasa hivi hawashikiki wengine ni engineers wazuri sana wanafanyakazi Microsoft Corporation ... Mitaala na NACTE ni Majanga kwa Watanzania ...
 
mtanga huyu huyu wa ze comedy show ya channel 5?.la rhumba nampata sana.nasikia siku hizi amekuwa mdau mkubwa sana wa viloba vya burudani kule mitaa ya kwao kimara.yaani 24/7 yupo geji.lol

Huyu huyu unayemjua
 
Leo Butiku alipomaliza kuongea au muda wake ulipoisha watu walipiga kelele sana aendelee.

Maana alichana live mbinu chafu zinazoendelea
 
Humphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa.

Kipekee nampongeza sana kwani tume ilikuwa na wajumbe wengi lakini wengine wako kimya ila Bwana Polepole amekabiliana nao na anaendelea kukabiliana nao dhidi ya upotoshaji, kwangu mimi Bw Polepole anastahili tunzo ya heshima.

Nawakaribisha wadau kwa maoni.

Huyo jamaa yuko poa sana
 
Back
Top Bottom