Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa namsikiliza hyu kijna mwenzangu Humphrey polepole aliyekuwa mjumbe wa tume ya katiba,kiukweli huyu kijana kailezea vema sana maoni ya wananchi ya katiba hasa serikali tatu.
Pia naomuona anamvuto wa kisiasa sijui kwanini bado yupo shimoni kisiasa.
Mimi binafsi katika watu ambao kila nikisikia kuna mjadala wowote kuhusu katiba mara kadhaa nahitaji kujua kama ni mmoja wa watoa mada, kijana huyu ni moja ya hazina ya uongozi wenye weledi kwa nchi endapo hata badilika lakini mimi naamini huyu si wakubadilika.
Huyu jamaa nilisoma naye O-level pale Azania secondary.
He was good tangu O-level.
Alikuwa kinara wa debates na alikuwa anajua kujenga hoja.
ndio vijana tujifunze kutoka kwake yale mazuri unayoyaona anayoyafanya kwa ufanisi
Huyu jamaa nilisoma naye O-level pale Azania secondary.
He was good tangu O-level.
Alikuwa kinara wa debates na alikuwa anajua kujenga hoja.
We ndugu wee,kumbe tulikuwa wote pale kipindi kile!Ni zao la kujivunia la mwl Henry Kwayu(baba wa demokrasia), Headmaster we2 kipindi kile.