Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni nani?

Ni kweli tunamsifia kijana but mi namshauri asiingie kwenye siasa asije akawa kama zinto zubell kambwe kununuliwa na kutumiwa na ccm kama kondumu then kutupwa katika dampo la pugu.
 
Yaani hata mimi kila akianza kuongea sitaki amalize, akiongea ana mvuto fulani natural kama baba wa taifa alivyokuwa, nikimuangalia namkumbuka sana baba wa Taifa. Ni kijana charismatic kuliko kijana mwingine yeyote Tanzania kwa wakati huu, nina uhakika angepata chama akatangaza nia angepata kura nyingi mno, urais sio age bwana au experience, kwani Kabila mdogo alipochukua nchi ya Congo ambayo politics zake ziko more complicated zaidi ya Tanzania alikuwa na uzoefu gani? Na mbona ame manage?
 
Mimi binafsi katika watu ambao kila nikisikia kuna mjadala wowote kuhusu katiba mara kadhaa nahitaji kujua kama ni mmoja wa watoa mada, kijana huyu ni moja ya hazina ya uongozi wenye weledi kwa nchi endapo hata badilika lakini mimi naamini huyu si wakubadilika.
 
Polepole yuko vizuri. NACHOHOFIA HAWA INTARAHAMWE WASIJE MNG'OA KUCHA!
 
Huyu jamaa nilisoma naye O-level pale Azania secondary.
He was good tangu O-level.
Alikuwa kinara wa debates na alikuwa anajua kujenga hoja.
 
Nilikuwa namsikiliza hyu kijna mwenzangu Humphrey polepole aliyekuwa mjumbe wa tume ya katiba,kiukweli huyu kijana kailezea vema sana maoni ya wananchi ya katiba hasa serikali tatu.
Pia naomuona anamvuto wa kisiasa sijui kwanini bado yupo shimoni kisiasa.

Anafuata nyayo za Jaji Warioba huyo
 
Mimi binafsi katika watu ambao kila nikisikia kuna mjadala wowote kuhusu katiba mara kadhaa nahitaji kujua kama ni mmoja wa watoa mada, kijana huyu ni moja ya hazina ya uongozi wenye weledi kwa nchi endapo hata badilika lakini mimi naamini huyu si wakubadilika.

Binafsi namkubali sana anaongea facts
 
Huyu jamaa nilisoma naye O-level pale Azania secondary.
He was good tangu O-level.
Alikuwa kinara wa debates na alikuwa anajua kujenga hoja.

We ndugu wee,kumbe tulikuwa wote pale kipindi kile!Ni zao la kujivunia la mwl Henry Kwayu(baba wa demokrasia), Headmaster we2 kipindi kile.
 
Kijana kaonyesha Kile tunachotakiwa kufanya kama vijana,sio kina mwigulu kazi misifa tu huku hana lolote zaidi ya kebehi.......Kijana kaweka mambo sawa kuhusu serikali Tatu.
 
ndio vijana tujifunze kutoka kwake yale mazuri unayoyaona anayoyafanya kwa ufanisi

Vijana hawana muda kazi yao kuangalia porno na kuharibu masikio kwa ear phone za muzic wa bongo fleva huku wakijidanganya kwenda kuishi Ulaya. Ulaya wanapenda watu wenye akili sio wajinga wajinga waliofeli hadi civics
 
Huu mdahalo ni reply kwa bunge la katiba la CCM. Message sent loud and clear. Kwa mara ya kwanza in years nimekaa kimya kwa masaa 3 hata kombe la Dunia sikulikubali hivi. God Bless Tanganyika.
 
We ndugu wee,kumbe tulikuwa wote pale kipindi kile!Ni zao la kujivunia la mwl Henry Kwayu(baba wa demokrasia), Headmaster we2 kipindi kile.

Hapo kwenye ren mkuu ni ANDREW KWAYU na sio HENRY.
'...In heaven of peace azania stand atease...'
 
Back
Top Bottom