Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Siku hazigandiJamaa atunukiwe shahada ya Heshima aisee...Mwigulu na propaganda zote jana kanoa..kabaki kutoa hoja zile zile za Mwenyekiti wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hazigandiJamaa atunukiwe shahada ya Heshima aisee...Mwigulu na propaganda zote jana kanoa..kabaki kutoa hoja zile zile za Mwenyekiti wao.
Teh teh teh tehPolepole ni hazina inayopaswa kulindwa , anapambana kisawasawa na upotoshaji unafanywa na wapuuzi wasiyoitakia mema nchi hii. Bila shaka ameshajenga uadui kati yake na majambazi hawa. Mungu amlinde daima.
Huyu kwangu namwita kijana shujaa katikati ya wanyama wakali na mchukulia kama kijana wakuingwa ndani ya taifa letu Tanganyika aka Tanzania nihazina kubwa sana hongera sana kijana Polepole
Kile kichwa ni noma tulio soma Azania sec tunamfahamu vizuri sana!
selfish
Hongera ndugu Polepole.
leo Prof Kabudi yupo Zanzibar na yeye anafafanua rasimu.
Humphrey Polepole ni zaidi ya wabunge wote wa CHADEMA ... ukimtoa Tundu Lissu.
Jamaa amewashinda maprof uchwara
Tanganyika yetu iakaporudi yeye pamoja na Tume nzima ya Waryoba watapewa Tuzo ya heshima ya juu sana Ya Tanganyika
Humphrey Polepole anauwezo mkubwa sana apewe tu.
Mkuu, hata mie nahofia maisha yake. Hazina hii kwa taifa.
Mkuu, nasikia wanataka kurekebisha upatikanaji wa hiyo 2/3 kwa hao waliopo bungeni.
Tunapozungumzia wazalendo na watu wenye KARAMA ya Mungu huyu jamaa pia yumo.
Hakika anayachambua na kuyaweka bayana kabisa masuala hususani yale ya kwenye Rasimu.
Jamaa ni mtu wa pekee kabisa,hakika anajua.Mungu amsaidie kwakweli.
Kama kweli una mtazamo CHANYA na haujajazwa MANENO utamwelewa sana bwana Polepole.
Naona jamaa kapewa ugali kawa mpole kasaliti yote hapana chezea tonge la UgaliI know the man in person.... kiujumla namkubali sana.
Jamaa ni professional wa UhasibuHuyu jamaa kasoma na kuelimika kweli kweli point zake zinachoma mitima nyongo ya wabunge wa bunge la katiba waliokwenda kukusanya laki tatu kila mwezi kukombolea magari yao Be Foward
Mkuu Pole sana wengi tulikuwa tunaona kama jamaa ni mkombozi,yaani ukiona post za nyuma lazima Roho iumeSoma kwanza hii post niliiandika lini ndio uje uandike tena hiki ulichokiandika. Muwe mnasoma na tarehe kwanza. Wewe ulitegemea Polepole wa Tume ya Warioba atakuja kuwa hivi alivyo?
weka ya mbowe kwanza
NENDA KWA WEBSITE YA BUNGE UTAIONA IKO PALE. TUAMBIE ILIPO. YA CHAKU BANGAweka ya mbowe kwanza
YES..... KWANI UNA TAFUTA AJIRA?kuna mahali wametangaza nafasi za ajira??
Vikashifa!!! Havisemwi?Ana vikashfa kibao enzi za ujana wake ila pale azania alipenda Sana vidibeti vya kipuuzi
Ashawahi kuwa Mbunge kwani ?NENDA KWA WEBSITE YA BUNGE UTAIONA IKO PALE. TUAMBIE ILIPO. YA CHAKU BANGA
YES M.H MBOWE NI MBUNGE WA HAIAshawahi kuwa Mbunge kwani ?