Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni nani?

Polepole ni hazina inayopaswa kulindwa , anapambana kisawasawa na upotoshaji unafanywa na wapuuzi wasiyoitakia mema nchi hii. Bila shaka ameshajenga uadui kati yake na majambazi hawa. Mungu amlinde daima.
Teh teh teh teh
 
Huyu kwangu namwita kijana shujaa katikati ya wanyama wakali na mchukulia kama kijana wakuingwa ndani ya taifa letu Tanganyika aka Tanzania nihazina kubwa sana hongera sana kijana Polepole
Kile kichwa ni noma tulio soma Azania sec tunamfahamu vizuri sana!


selfish
Hongera ndugu Polepole.

leo Prof Kabudi yupo Zanzibar na yeye anafafanua rasimu.
Humphrey Polepole ni zaidi ya wabunge wote wa CHADEMA ... ukimtoa Tundu Lissu.
Jamaa amewashinda maprof uchwara
Tanganyika yetu iakaporudi yeye pamoja na Tume nzima ya Waryoba watapewa Tuzo ya heshima ya juu sana Ya Tanganyika
Humphrey Polepole anauwezo mkubwa sana apewe tu.
Mkuu, hata mie nahofia maisha yake. Hazina hii kwa taifa.
Mkuu, nasikia wanataka kurekebisha upatikanaji wa hiyo 2/3 kwa hao waliopo bungeni.
Tunapozungumzia wazalendo na watu wenye KARAMA ya Mungu huyu jamaa pia yumo.

Hakika anayachambua na kuyaweka bayana kabisa masuala hususani yale ya kwenye Rasimu.

Jamaa ni mtu wa pekee kabisa,hakika anajua.Mungu amsaidie kwakweli.

Kama kweli una mtazamo CHANYA na haujajazwa MANENO utamwelewa sana bwana Polepole.
I know the man in person.... kiujumla namkubali sana.
Naona jamaa kapewa ugali kawa mpole kasaliti yote hapana chezea tonge la Ugali
 
Huyu jamaa kasoma na kuelimika kweli kweli point zake zinachoma mitima nyongo ya wabunge wa bunge la katiba waliokwenda kukusanya laki tatu kila mwezi kukombolea magari yao Be Foward
Jamaa ni professional wa Uhasibu
 
Soma kwanza hii post niliiandika lini ndio uje uandike tena hiki ulichokiandika. Muwe mnasoma na tarehe kwanza. Wewe ulitegemea Polepole wa Tume ya Warioba atakuja kuwa hivi alivyo?
Mkuu Pole sana wengi tulikuwa tunaona kama jamaa ni mkombozi,yaani ukiona post za nyuma lazima Roho iume
 
Tumbo baya Sana. Huyu PolePole amekimbilia tumbo aka ruin his reputation
 
CHADEMA walikuwa wamezoea wenezi akina Cptn John Chiligati - sasa tumewawekea mashine babu kubwa
 
CHADEMA shangilieni ningepata nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Taifa nawaambia gazeti la Uhuru mngelinunua kwa lazima - tena kila siku

Mlizoea kuibuka na vijimatukio na kuvibeba kama agenda yenu
 
Ana vikashfa kibao enzi za ujana wake ila pale azania alipenda Sana vidibeti vya kipuuzi
 
Back
Top Bottom