Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni nani?

Unaongelea bwana Polepole yupi? Yule wa Tume ya katiba ama huyu aka Chakibanga anayewafananisha wapinzani na Corona?
 
Wakuu,
Habari za mida hii ! Leo napenda kuuliza juu ya elimu ya ndugu yetu Humphrey Polepole anayehudumu kama Muenezi wa CCM mpya, ambaye awali kabla ya kuja kwenye chama chetu alijizolea sifa kadhaa katika mchakato ule wa Katiba kwa misimamo yake thabiti mpaka kupelekea kuthubutu kutamka hadharani kwamba `` Uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi Ikulu " .

Nnahitaji kufahamu elimu yake kama ambavyo miaka ile tulivyohoji elimu ya Mh Mnyika na akaja hapa jukwaani na kutudadavulia na tukaridhika japo hoja ilitoka kwa Nape na Ridhiwani lakini woote tulishiba majibu ya Mnyika. Nadhani ni wasaa mzuri kabisa nae Bw Polepole aje atufahamishe juu ya elimu yake ili kuondoa ile dhana kwamba aliishia kidato cha 6 na kuangukia pua.

Bw wewe Polepole uje hapa jukwaani tunasubiri majibu yenye tija na sio longolongo.

Nawasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kusikia ni MA ya development
 
Muache Pole pole ajenge chama!
Kwani Sifa ya Elimu ya mwenezi inabidi uwe umesomea angani?

Sheria mbovu tuliyonayo ni sifa ya mbunge kujua kusoma na kuandika!
Halafu watu hao ndio wakatunge sheria bungeni, here amendments are required!
Don't disturb Mr. Polepole, he has been trusted by their own the political party!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliomchagua kuwa sehemu ya uongozi katika rasimu ya katiba ya warioba naamini wana majibu sahihi hata yeye asipojibu.
 
Wakuu,
Habari za mida hii ! Leo napenda kuuliza juu ya elimu ya ndugu yetu Humphrey Polepole anayehudumu kama Muenezi wa CCM mpya, ambaye awali kabla ya kuja kwenye chama chetu alijizolea sifa kadhaa katika mchakato ule wa Katiba kwa misimamo yake thabiti mpaka kupelekea kuthubutu kutamka hadharani kwamba `` Uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi Ikulu " .

Nnahitaji kufahamu elimu yake kama ambavyo miaka ile tulivyohoji elimu ya Mh Mnyika na akaja hapa jukwaani na kutudadavulia na tukaridhika japo hoja ilitoka kwa Nape na Ridhiwani lakini woote tulishiba majibu ya Mnyika. Nadhani ni wasaa mzuri kabisa nae Bw Polepole aje atufahamishe juu ya elimu yake ili kuondoa ile dhana kwamba aliishia kidato cha 6 na kuangukia pua.

Bw wewe Polepole uje hapa jukwaani tunasubiri majibu yenye tija na sio longolongo.

Nawasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
PhD
 
Certificate ya Nyasi
Diploma ya Udongo
Degree ya Mbolea
Masters ya Kukata na Kurembesha Maua Kinondoni hadi Kimara
PhD ya Unafiki, Uwongo na Kujipendekeza kunakopitiliza kwa Mwenyekiti
 
Mfahamu ndugu Humphrey Polepole mwaka 2014

Source: Mkasi TV
 
Wakuu,
Habari za mida hii ! Leo napenda kuuliza juu ya elimu ya ndugu yetu Humphrey Polepole anayehudumu kama Muenezi wa CCM mpya, ambaye awali kabla ya kuja kwenye chama chetu alijizolea sifa kadhaa katika mchakato ule wa Katiba kwa misimamo yake thabiti mpaka kupelekea kuthubutu kutamka hadharani kwamba `` Uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi Ikulu " .

Nnahitaji kufahamu elimu yake kama ambavyo miaka ile tulivyohoji elimu ya Mh Mnyika na akaja hapa jukwaani na kutudadavulia na tukaridhika japo hoja ilitoka kwa Nape na Ridhiwani lakini woote tulishiba majibu ya Mnyika. Nadhani ni wasaa mzuri kabisa nae Bw Polepole aje atufahamishe juu ya elimu yake ili kuondoa ile dhana kwamba aliishia kidato cha 6 na kuangukia pua.

Bw wewe Polepole uje hapa jukwaani tunasubiri majibu yenye tija na sio longolongo.

Nawasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana Masters ya Development studies UDSM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom