Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kusikia ni MA ya developmentWakuu,
Habari za mida hii ! Leo napenda kuuliza juu ya elimu ya ndugu yetu Humphrey Polepole anayehudumu kama Muenezi wa CCM mpya, ambaye awali kabla ya kuja kwenye chama chetu alijizolea sifa kadhaa katika mchakato ule wa Katiba kwa misimamo yake thabiti mpaka kupelekea kuthubutu kutamka hadharani kwamba `` Uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi Ikulu " .
Nnahitaji kufahamu elimu yake kama ambavyo miaka ile tulivyohoji elimu ya Mh Mnyika na akaja hapa jukwaani na kutudadavulia na tukaridhika japo hoja ilitoka kwa Nape na Ridhiwani lakini woote tulishiba majibu ya Mnyika. Nadhani ni wasaa mzuri kabisa nae Bw Polepole aje atufahamishe juu ya elimu yake ili kuondoa ile dhana kwamba aliishia kidato cha 6 na kuangukia pua.
Bw wewe Polepole uje hapa jukwaani tunasubiri majibu yenye tija na sio longolongo.
Nawasilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye mbona ha develop?Niliwahi kusikia ni MA ya development
Atakuwa alipewa zawadi kama mkuu wakeNiliwahi kusikia ni MA ya development
chogo kama fundichumapole pole ni la Darasa la4 B, cheki kile kisogo chake kama TV za zamani kwa kule nyuma
PhDWakuu,
Habari za mida hii ! Leo napenda kuuliza juu ya elimu ya ndugu yetu Humphrey Polepole anayehudumu kama Muenezi wa CCM mpya, ambaye awali kabla ya kuja kwenye chama chetu alijizolea sifa kadhaa katika mchakato ule wa Katiba kwa misimamo yake thabiti mpaka kupelekea kuthubutu kutamka hadharani kwamba `` Uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi Ikulu " .
Nnahitaji kufahamu elimu yake kama ambavyo miaka ile tulivyohoji elimu ya Mh Mnyika na akaja hapa jukwaani na kutudadavulia na tukaridhika japo hoja ilitoka kwa Nape na Ridhiwani lakini woote tulishiba majibu ya Mnyika. Nadhani ni wasaa mzuri kabisa nae Bw Polepole aje atufahamishe juu ya elimu yake ili kuondoa ile dhana kwamba aliishia kidato cha 6 na kuangukia pua.
Bw wewe Polepole uje hapa jukwaani tunasubiri majibu yenye tija na sio longolongo.
Nawasilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu,

Ana Masters ya Development studies UDSM.Wakuu,

Addis Ababa, Ethiopia