Humphrey Polepole: Popote ulipo, naomba jibu la swali hili ukija kwenye press ya tarehe 3/9/2025 kama ulivyoahidi

Sasa imekula kwao, subiri aingie kipindi cha pili ndio Wataona rangi yake halisi,

Pia katiba yetu Rais hastakiwi popote hata akiuza kila kitu,
Imeshatokea mara nyingi katika nchi kadhaa kinga kama hizi kuondolewa na wanufaika kushtakiwa baada ya kutoka madarakani. Hizi kinga haziwahakikishii usalama wa kudumu wakingiwa
 
Majibu ya swali lako alishayasema jana.

Alisema baada ya kundi la wanamtandao kufanikiwa kuishika ccm 2005, ile dhana ya kutafuta kiongozi iliondoka na badala yake sasa watu wanatafuta uongozi na si kutafutwa. Kwa hiyo 2015 ndio ikatokea Hilo la kumchagua huyo. 2020 magufuli alimchagua Hussein mwinyi lakini haikuwezekana.

Alisema pia, wanamtandao wana mbinu na tabia nyingi, huweka viongozi ccm na pia upinzani ili kikitokea chochote Wanakua na back-up
Samahani mkuu, wanamtandao ni akina nani na kazi yao ni nini hasa?
 
Naam, na hoja nyingine ya kusapoti ni. Mzozo wa desturi kwamba makamu , waziri mkuu, spika wasigombee, muongozo ulitakiwa kueleza pia ikitokea makamu karithi kiti huko chamani kwao nini kinawaongoza, ukiona kuna utata ni dhahiri hawakufikiri,
exactly, hawakufikiri zaidi ya unforeseen events! ie in case of/in the event of unforeseen......
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mbona alifafanua hili ye alimpendekeza Mwinyi ila wanamtandao wakafosi maza
 
Utaratibu wa kumpata mgombea mwenza na cheo alichokua nacho pole pole ni kama mbingu na ardhi. Polepole mtakua mnamsingizia na hana power yoyote ktk hilo, suala hilo ni lao vigogo wazoto akiwemo mgombea urais. Lkn hata hivyo japo sina kumbukumbu nzuri, mwaka 2025 polepole alikua hajakalia cheo cha uenezi, alikua mwenezi baada ya jpm alipoingia madarakani na kuwa mwenyekiti wa chama
 
Hawakuamini kuwa ipo siku rais atafia madarakani.
Makamu wa rais huwa ni mtu dhaifu ili asimfunike rais au asimpigie kelele akitafuna nchi
kama hawakuamini kwanin katiba ya tz wameweka kipenge akifa rais basi makamu anakua rais
 
1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi.

2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza kuongoza nchi in case anything happens to the president to be out of power by whatever cause?

3. Mlitumia vigezo gani kumweka Mgombea Mwenza out of a multitude of well-educated women in Tanzania?
Point yako ya 3 ndiyo muhimu zaidi kwani tunaona madhara ya kutawaliwa na kichaa ama mtu asiye na elimu sahihi.
 
1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi.

2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza kuongoza nchi in case anything happens to the president to be out of power by whatever cause?

3. Mlitumia vigezo gani kumweka Mgombea Mwenza out of a multitude of well-educated women in Tanzania?
Maswali ya kitoto sana.
 
Naam, na hoja nyingine ya kusapoti ni. Mzozo wa desturi kwamba makamu , waziri mkuu, spika wasigombee, muongozo ulitakiwa kueleza pia ikitokea makamu karithi kiti huko chamani kwao nini kinawaongoza, ukiona kuna utata ni dhahiri hawakufikiri,
Dawa katiba itamke akifa Raisi, uchaguzi uitishwe ndani ya siku 90 ,nchi nyingi zinafanya hivyo
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi.

2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza kuongoza nchi in case anything happens to the president to be out of power by whatever cause?

3. Mlitumia vigezo gani kumweka Mgombea Mwenza out of a multitude of well-educated women in Tanzania?

walimweka kanyaboya, hawakuwaza deeply, hawakujua wala kudhani kuwa Magu angetuacha kwa mtindo ule. Ona sasa kukosa kwao umakini kunaligharimu taifa sasa.
 
Na
1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi.

2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza kuongoza nchi in case anything happens to the president to be out of power by whatever cause?

3. Mlitumia vigezo gani kumweka Mgombea Mwenza out of a multitude of well-educated women in Tanzania?
Nawe kwli hamnazo, hilo jinga lilikuwa wapi wakati CCM inampitisha Samia kuwa mgombea mwenza 2015. Kipindi Samia anapitishwa mwenezi wa CCM alikuwa Nape NNAUYE, katibu mkuu Abdulrahaman Kinana. Hicho kibwengo Magu ndio anajua alikokiokoteza. Huyo siyo mwanaCCM, alijuwa mwanaharakati haifahamu CCM Majibu ya Samia anastahili kugombea urais alishayatoa JK.
 
Fikra ya haraka, ni dhahiri hakuna mtu aliyedhani kama rais anaweza fia madarakani, --- labda kuanzia sasa ndo wanaweza anza tilia maanani
Mnawaza upumbavu tu, Samia ndio kafanya makubwa kuliko marehemu, Samia uwezo wake ni mara 2 ya Magu, watanzania wengi wanataka mtu wa kuwapumbaza, mwenye makeke, mwenye mbwembwe, anayeweza kuwaburudisha, Samia ni mtu wa kazi maneno machache sana
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Q
Hawakuamini kuwa ipo siku rais atafia madarakani.
Makamu wa rais huwa ni mtu dhaifu ili asimfunike rais au asimpigie kelele akitafuna nchi
we bwege Samia is stronger than deceased more than twice as much, suala siyo kumfunika, ni kwamba CCM imejengwa ktk msingi kuwa mkubwa ni mkubwa lazima umtii. Mpango siyo dhaifu, Nchimbi siyo dhaifu
 
hayat Maguful alisemss makam wake alitaka awe mwinyi ila
 
1000060692.jpg
 
Back
Top Bottom