Humphrey Polepole popote ulipo tunakukumbuka kwa ushujaa ulioonyesha kwa ajili ya Taifa hili

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kueleza ukweli kuwa Rais Samia na genge lake ni waovu na wameua watu wengi akiwemo hayati John Pombe Magufuli.

Ufisadi wenye kinyaa. Mfano wa Angela Kiziga lakini anakumbatiwq na Rais Samia.

Kuibiwa kwa Watanzania na kampuni ya Rostam kupitia gas ya kupikia.

Rais mstaafu Kikwete kulazimisha kumuweka rais Samia ili ajinufaishe binafsi hasa kupitia Dp worl na mradi wa Bandari ya Bagamoyo itakayojengwa na Wachina.
 
Ni mashaka yangalipooooo, wema hawana maisha x3.
R.I.P Balisidya
 
Kueleza ukweli kuwa Rais Samia na genge lake ni waovu na wameua watu wengi akiwemo hayati John Pombe Magufuli.

Ufisadi wenye kinyaa. Mfano wa Angela Kiziga lakini anakumbatiwq na Rais Samia.

Kuibiwa kwa Watanzania na kampuni ya Rostam kupitia gas ya kupikia.

Rais mstaafu Kikwete kulazimisha kumuweka rais Samia ili ajinufaishe binafsi hasa kupitia Dp worl na mradi wa Bandari ya Bagamoyo itakayojengwa na Wachina.
Mpuuzi huyo acha atekwe tu. Wakati watu wanatekwa kipindi cha Magufuli, alikuwa anasema wanajiteka ili kumchafua kiongozi mzalendo. Acha avune uchafu wa alichaotesha kipindi cha dhalimu Magufuli.
 
Hatarudi milele finished
 
Wauaji walishamuua tangu ile siku wamemteka ni muda sasa wa nyie kuchukua hatua nyingine maana vyombo vya utoaji haki havipo tena.

Zile damu pale , mlango uliovunjwa ni kiashiria tosha kulikua na makabiliano makali kati yake na watekaji na ni dalili tosha hakukubali kutekwa kizembe hivyo ilibidi nguvu kubwa itumike na kupelekea wamjeruhi .
 
CCM hatari sana Samia hatari sana walimkamata wakamtesa waka mpiga risasi akafariki wakamzika kwenye kaburi la siri
 
Mpuuzi huyo acha atekwe tu. Wakati watu wanatekwa kipindi cha Magufuli, alikuwa anasema wanajiteka ili kumchafua kiongozi mzalendo. Acha avune uchafu wa alichaotesha kipindi cha dhalimu Magufuli.
Mimi na wewe ndio huwa tunapishana hapa. Unachuki na hayati kiasi kwamba unaziamishia kwa wengine
 
Mpuuzi huyo acha atekwe tu. Wakati watu wanatekwa kipindi cha Magufuli, alikuwa anasema wanajiteka ili kumchafua kiongozi mzalendo. Acha avune uchafu wa alichaotesha kipindi cha dhalimu Magufuli.
Unaonesha ni jinsi gani ulivyotaahira.
Unatulazimisha kumchukia Jembe, mchspakazi na Mzalendo wa kweli Magufuli?
 
Kama kweli PolePole ameshafariki basi Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi. Ila kifo chake na vifo vya wale wengine wote waliouwawa ikiwemo wa MO29, havitaenda bure, hata kama itachelewa ila vitalipwa. Mungu wetu ni wa haki.
 
Kueleza ukweli kuwa Rais Samia na genge lake ni waovu na wameua watu wengi akiwemo hayati John Pombe Magufuli.

Ufisadi wenye kinyaa. Mfano wa Angela Kiziga lakini anakumbatiwq na Rais Samia.

Kuibiwa kwa Watanzania na kampuni ya Rostam kupitia gas ya kupikia.

Rais mstaafu Kikwete kulazimisha kumuweka rais Samia ili ajinufaishe binafsi hasa kupitia Dp worl na mradi wa Bandari ya Bagamoyo itakayojengwa na Wachina.
Wahuni 32 ,wahuni 45 ,wahuni 26 Kipaji.

#Kataa Wahuni
#Justice for Polepole,bensaanane,soka,mdude,chaula,azory,kanguye,rujabwe
 
Back
Top Bottom