Wapi nimetaka umchukie? Nimemuelezea Magufuli accurately, ni juu yako kumuandika positively.Unaonesha ni jinsi gani ulivyotaahira.
Unatulazimisha kumchukia Jembe, mchspakazi na Mzalendo wa kweli Magufuli?
Wahuni wabaya sana ,hawathamini Uhai wa mtu ,kwao ni minor sana ,kama waliweza kumuua Chaula kwa petty issue vipi kwa bloo Polepole aliyekuwa anapiga kwenye mshono na kichwani?Kueleza ukweli kuwa Rais Samia na genge lake ni waovu na wameua watu wengi akiwemo hayati John Pombe Magufuli.
Ufisadi wenye kinyaa. Mfano wa Angela Kiziga lakini anakumbatiwq na Rais Samia.
Kuibiwa kwa Watanzania na kampuni ya Rostam kupitia gas ya kupikia.
Rais mstaafu Kikwete kulazimisha kumuweka rais Samia ili ajinufaishe binafsi hasa kupitia Dp worl na mradi wa Bandari ya Bagamoyo itakayojengwa na Wachina.
Mimi na wewe tunakutana sehemu moja tu, kwenye kuchukia tawala ya kifisadi ya serikali ya ccm.Wapi nimetaka umchukie? Nimemuelezea Magufuli accurately, ni juu yako kumuandika positively.
Mkuu narudia tena namzunguzia Magufuli alivyo, sio alivyotaka kusifiwa. Sina popote ninapomfananisha na Lisu. Lakini ukitaka nimfananishe na Lisu naweza pia.Mimi na wewe tunakutana sehemu moja tu, kwenye kuchukia tawala ya kifisadi ya serikali ya ccm.
Ila kimtazamo tunatofautiana sana. Mfano:
Wewe unamuona Magufuli alikuwa hafai kabisa, yaani alikuwa Rais muovu, ila mimi namuona Magufuli km ni kiongozi aliyekuwa na uzalendo uliotukuka.
Pia wewe Unamuona km Lisu ni kiongozi bora ila mimi simuoni Lisu km kiongozi bora, nnamashaka na uzalendo wake. Namuona Lissu km mwanasiasa mchangamfu na mwenye uwezo wa kujieleza.
1: Alipambana kumsafisha Lowasa waliyemchafua wao wenyewe kwa kumuita fisadi papa.
2: Alishiriki kuvunja katiba ya CDM kwa kulazimisha Lowasa awe Mgombea kinyume na katiba ya chama.
3: Badala ya kumsaidia Magufuli alimpinga wazi wazi kwa kushirikiana na kina Amsterdam kwenye marekebisho ya mikataba ya madini. (Tutashitakiwa MIGA)
Kwa maana hiyo, mimi na wewe ni wapinzani wa CCM ila tunatofautiana mitazamo.