Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigezo cha kuteuliwa lazima uwe kada..! Umsifie baba Muumb.. Uteuzi emezingatia vigezo na masharti kuzingatiwa.Hiyo katiba mpya kaipitisha Magufuli peke yake mpaka aifate au mpaka wananchi wapige kura ya maoni,tueleweshane hapa maana labda mambo yashabadilika wengine hatujui.
Polepole anataka kutuaminisha kuwa hakuna haja ya kuwa na Katiba Mpya kwa mwelekeo wake. Inavyoonekana tayari anaanza kusahau hata kile alicho ahidi hivi majuzi kuwa hatakaa kusaliti kile alichokuwa amesimamia kwenye suala la Katiba. Kweli Madaraka matamu, naam ni matamu zaidi ya asali.
Hili neno nilisema mapema sana huyu jamaa hatoki madarakani kama mtu anataka tuweke mzigo mwenendo wake tu unaonyeshaWananchi tuamke kuna uwezekano jamaa huyu akagomea madarakani hata muda ukiisha.
Mkuu unaweza ukawa na hoja dadavua kiufasaha tupate mantiki yako.Tunataka chanel zile za bure zirudishwe la sivyo waturudishie analogia yetu maana antena bado tunazo. Hii ni laana na unyonyaji mkubwa kwa kutaka kuwakamua maskini wa nchi hii kila walichonacho.
KipiUkiwa kwenye hiki chama unakuwa kama una kalaana flani hivi amazing
Tayari ameleo Ukatibu Wenezi huko CCM. Nchi za Afrika kweli tuna safari kufikia kujitambua. Sijui umasikini aka laana inatutafuna, kwakweli inasikitisha.Kwani referendum imefanyika yaani wananchi wamefanya maamuzi? Au wamefanya wao kwa niaba ya wananchi kwa style ya kwata ya kimyakimya? Kama wamefanya hivyo ni kuvunja sheria ya marekebisho ya katiba na haina uhalali na yanayofanyika kwa mujibu wa rasimu hayana uhalali kwa sababu sio official, hayatambuliki na wenye power=wananchi.