Humphrey Polepole: Rais Magufuli anatekeleza Katiba Mpya

Ninarudia tena leo huenda kihama kwa Watz. kikaletwa kwasababu ya unafiki huyu dogo kapitiliza.
 
Pumbavu kabisa haka kazee. Unatekelezaji 'katiba mpya' wakati iliyopo bado ipo kisheria na Kigali? Huku si ni kuivunja katiba aliyoapa kuilinda?
Nchi ya ajabu kabisa hii.
Ropo ropo tu hawa jamaa.
 
Ninarudia tena leo huenda kihama kwa Watz. kikaletwa kwasababu ya unafiki huyu dogo kapitiliza.
Kwanza, kosa la Kwanza alilofanya ni kukibali ile nafasi ya u DC wakati alikuwa mstari wa Mbele kuipinga. Pale pale nikagundua huyo dogo Njaa inamsumbua.
 
Hiyo nchi ilipindia wapi na nani aliipindisha? Yuko hai au amekufa? Kwa nini wanataka kutufanya watanzania wote ni mazuzu? Alipokuwa akiapa alitumia katiba ipi? Atatekelezaje katiba ambayo haipo? Kama wanadhani watanzania ni mazuzu basi watambue Siyo wote wengine tunajitambua
 
Hahahahahahahahahahaha
 
Viongozi wa Afrika wengi wao Katiba wanaona tu kama vitabu vya hadithi kama vitabu vingine tu vya hadithi.
 
Hahah Polepole bwana, kwa hiyo Magufuli ndiyo katiba mpya yenyewe?.

Na kama anatekeleza katiba mpya je maana yake anavunja katiba ya sasa aliyoapa kuilinda?
 
Rais 'anainyoosha' nchi bila kufuata katiba? Ukiangalia matendo na matamshi ya Magufuri ni dhahiri anatamani katiba isiwepo kabisa ili aendeshe nchi kama anavyoiendesha familia yake. Eti ananyoosha nchi,mtu alikuwepo madarakani tena kwenye wizara nyeti ya ujenzi ambayo inakula asilimia kubwa ya mapato ya nchi kwa miaka ishirini halafu leo anakuja na ngonjera za kunyoosha nchi,kwani aliyepindisha nani kama sie yeye na wenzie?
MV Bagamoyo inaoza pale Navy-Kigamboni,nyumba za serikali yalijiuzia kwa bei alipanga mnunuzi,barabara nyingi zimejengwa chini ya kiwango,bei za ununuzi wa magari ya serikali ziko inflated,halafu wanatuambia wananyoosha nchi!
Ni vitisho tu as defence mechanism ili watu wasihoji uchafu na uozo wake.
 
Taifa la Kusadikika hilo
 
Kweli mkuu, wengine pia tulishauri walitukejeri eti Anayefanya kazi na usimamizi ni mtu na si Katiba. Yaani wana Hoja Mfu mpaka wanakera.
Waache tu, hivi katika hali ya kawaida kuna Rais atakayekuja kufanyakazi na kondakta? Kwa vigezo gani? Kiongozi huwezi kumwambia kiongozi mwenzio "unanijua vizuri mie??? Wee mzee?" Nilisikitika sana.
 
Inasikitisha muda wote kuwafanya watendaji kazi wako wakuogope na hivyo kutenda kazi kwa uoga.
 
Tunataka chanel zile za bure zirudishwe la sivyo waturudishie analogia yetu maana antena bado tunazo. Hii ni laana na unyonyaji mkubwa kwa kutaka kuwakamua maskini wa nchi hii kila walichonacho.
Mkuu pole. Naona hali ngumu umeshindwa hata kununua bundle za vigamuzi. Kwanza nakushangaa unangangania hizi chanel za bongo. Hazina hata maana. Mimi natamani hata kwenye vingamuzi wazitoe kabisa. Mimi sikuizi naangaliaga za kenya. Najifunza mengi napoangalia za kenya sababu wao wanaongelea biashara kuliko siasa. Sisi uku kila chanel ni masiasa tu.
 
V8 lile mkuu limeshaanza kumlewesha
Jana nilimsikia Hapi akitoa povu juu ya viongozi wa serikali za mitaa kudai posho. Alisema kufanya hivyo siyo uzalendo; huku V8 ikimsubiria nje. Yaani maCCM hayana huruma na nchi hii, yanajifanya kutetea 'wanyonge' huku yenyewe yakiishi maisha ya ki-hollywood!
 
Nilichoona kwa hawa jamaa, wao wanaona anasa za wenzao tu, za kwao wala hawaoni.
 
Spot on. Magufuli akiongoza katika hilo. Wanawaonea watumishi wa kada za kati na chini tu; huku Magufuli na wateule wake wakila kuku kwa mrija.
 
Back
Top Bottom