Anasema kamwe hatavunja Katiba.
Wewe jidanganye, wanaomwamini Magufuli ni madokta na Maprofesa, hao Ngulumbili uliowataja ni vibendera tu.Juma Nkamia ni mstaafu
Ally Kessy ni mstaafu
Jah people ameishia darasa la pili
Musukuma ameishia darasa la saba
Babu Tale ameishia madrassa.
Hawa hawawezi kumshawishi Dr Magufuli aongeze mihula.
Maendeleo hayana vyama!
Nimeona clip sasa hivi kutoka M4C Magufuli akimwagiza Polepole awaambie watanzania kuwa hataki kusikia habari ya kuongeza muda wa urais. hataki mjadala huo kabisa. Anasema kamwe hatavunja Katiba.
TAZAMA:
View attachment 1697821
My take: Sidhani kama ni wa kumwamini!
Hivi jamani mnadhan kuongeza muda wa urais ni jambo jepesi kwamba unalala tu unabadili katiba,..wapo watu ccm huko wameanza kupiga jaramba la kuutaka urais halafu uwaambie leo jamaa anaongeza muda sidhani kama hawatamuua mtu
Tatizo lako wewe ni zero brainTukiruhusu watu kama kuijadili nchi yetu ni kupoteza hadhi!
Kikwete watu walisema sana ataongeza muda. Hakuongeza.Wewe msaulifu sana kwanza alisema kazi ya urais ni ngumu miaka mitano inatosha, baadaye akachukua fomu peke yake akamwekea mizengwe Membe asigombee, kwenye kampeni akadai kwa nini tunamnyima miaka mitano tena, akasahau alishasema kazi ya urais ni ngumu na miaka mitan inatosha.
Kama ni suala la kupuuza tunasubiri hilo bunge likishapitisha kuongezewa muda tuone mzee akikataa ndio tutajua kama hataki tena uraisRais Magufuli hafurahishwi na mjadala unaoendelea juu ya kuongezwa kwa kipindi cha Urais kutoka miaka 5 hadi miaka 7.
View attachment 674687
Kama siwaoni vileRais Magufuli hafurahishwi na mjadala unaoendelea juu ya kuongezwa kwa kipindi cha Urais kutoka miaka 5 hadi miaka 7.
View attachment 674687
Hapa naona barua ya Msigwa inazungumzia habari ya Polepole badala ya ile ya RaisRais Magufuli hafurahishwi na mjadala unaoendelea juu ya kuongezwa kwa kipindi cha Urais kutoka miaka 5 hadi miaka 7.
View attachment 674687