Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

Zamani ukitaka kupata jokes ilikubidi uende Habari na Hoja Mchanganyiko. Not these days, zimejaa humu Jukwaa La Siasa. What a waste!!!!
 
wadau aman iwe kwenu
Leo nimeona niwatafakarishe kidogo kwa yanayoendelea nchini. kwa hakika tunapita wakati mgumu sana lakini ukweli no kwamba jiwe ataongeza muda was urais kutoka tank mpaka saba. labda aamue tu lakini hatuna uwezo wa kukataa. swali kubwa Leo ni kwamba tulikataa nini tukafanikiwa?


Basi tukijua hilo ni mda tu. maandalizi ya kufikia hilo ni mabadiliko sheria na yanaendelea mpaka sasa kuna sheria nyingi zimebalishwa hatua imepigwa kubwkubwa sana watanzania hatufika hatua ya kusema no kwa MTU anayechezea katiba yetu.
 
wadau aman iwe kwenu
Leo nimeona niwatafakarishe kidogo kwa yanayoendelea nchini. kwa hakika tunapita wakati mgumu sana lakini ukweli no kwamba jiwe ataongeza muda was urais kutoka tank mpaka saba. labda aamue tu lakini hatuna uwezo wa kukataa. swali kubwa Leo ni kwamba tulikataa nini tukafanikiwa? basi tukijua hilo ni mda tu. maandalizi ya kufikia hilo ni mabadiliko sheria na yanaendelea mpaka sasa kuna sheria nyingi zimebalishwa hatua imepigwa kubwkubwa sana watanzania hatufika hatua ya kusema no kwa MTU anayechezea katiba yetu.
kikokotoo kipya.
 
..kwanini anataka kuongeza muda?

..mara nyingi kiongozi anayeongeza muda ni yule aliyeshindwa kufikia malengo na matarajio.
 
Mwache abadili hata awe life president kama Nkuku wa Zabanga
 
kwa MTU mchafu ikulu ni lulu anawaza kuongeza mda
 
Nimeona clip sasa hivi kutoka M4C Magufuli akimwagiza Polepole awaambie watanzania kuwa hataki kusikia habari ya kuongeza muda wa urais. hataki mjadala huo kabisa. Anasema kamwe hatavunja Katiba.

TAZAMA:



My take: Sidhani kama ni wa kumwamini!
 
Back
Top Bottom