Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

Yaani jamaa kakaa miaka mitatu kasoro tu kashaanza harakati za kujiongezea muda hahaha

Unaambiwa ukitaka kujua tabia ya mtu we angalia marafiki zake wa karibu utaijua tabia yak

Marafiki zake wakuu ni kaguma, msavan na yule wa mburundi bila kumsahau yule kwabira hahaha wa drc

Mwambie apande ndege akaonane ya watu wa maaana akina trump huko hapo mtagombana hahaha

Na ndio maana hii mada haiishi cz hakai na watu wenye akili za maendeleo
 
Quotes
When you go in search of honey you must expect to be stung by bees.

The inability of those in power to still the voices of their own consciences is the great force leading to change.

The power which establishes a state is violence; the power which maintains it is violence; the power which eventually overthrows it is violence.
Kenneth David Buchizya Kaunda
or_2017720182215.jpeg
 
Hadi sasa ivi misifa tu mingi lakini la maana halionekani maisha yanazidi kuwa makali makampuni yamekufa , wawekezaji wamefilisika watu wamepotexa ajiraa

Lakini hizo sifa sijui zinatokea wapi au mmekodishwa nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli inaonekana kazi nzuri anayo fanya ni bora akae miaka 30 tuzidi kuona maendeleo aongezewe muda ili tufaidi maendeleo 7 haitoshi ni midogo
 
Naona mnaleta hizi nyuzi kupima upepo wa hili jambo.....KATIBA YA NCHI IFUATWE acheni uzwazwa
 
Kwanza awali ya yote namshukuru Mungu kwa kutupa uzima. Nilikuwamachimbo nikijenga uchumi wa viwanda nakupata habari.
Sasa labda niwaambie tu wenye akili wengi wameona kazi nzuri ya mkuu wa taifa letu Dr JOHN Pombe Magufuli. Nakazi nzuri inafanyika kuhakikisha anamaliza kazi nzuri amezianzisha.

Sisi tulio wachache ambao tunaona kazi nzuri ya huyu rais basi tunazidi kuwapa matumaini nakuwataka tuungane kutimiza ndoto zakufikia uchumi wakati ambazo mkuu wa nchi ameanzisha.

Wapo watu wanafikiria vibaya nakufikiri kuwa watabadili katiba ili kumuongeza muda wakuongoza lakini sivyo itakuwa. Katiba yetu itabaki kama ilivyo ila Mh Rais Dr Magufuli ataongezewa muda kwa njia ambayo ipo ndani ya chama jambo litatupa room kumchaguwa yeye.
Msiniulize mchakato utakuwaje ila kwa wale wanasubiri urais 2025... Wasubirie 2030.....
Kwaherini
MAGUFULI NDIO HABARI YA MJINI. WENGINE TIA KULE
ujielewi
 
Magufuli hatabadili Katiba wala hataongeza muda wa uraisi na haitatokea hiyo ondo hiyo shaka fikiria ugali wa watoto ndugu
Soma vizuri maelezo yangu vizuri hakuna mahali nimesema katiba itabadilishwa soma vizuri
 
Kwanza awali ya yote namshukuru Mungu kwa kutupa uzima. Nilikuwamachimbo nikijenga uchumi wa viwanda nakupata habari.
Sasa labda niwaambie tu wenye akili wengi wameona kazi nzuri ya mkuu wa taifa letu Dr JOHN Pombe Magufuli. Nakazi nzuri inafanyika kuhakikisha anamaliza kazi nzuri amezianzisha.

Sisi tulio wachache ambao tunaona kazi nzuri ya huyu rais basi tunazidi kuwapa matumaini nakuwataka tuungane kutimiza ndoto zakufikia uchumi wakati ambazo mkuu wa nchi ameanzisha.

Wapo watu wanafikiria vibaya nakufikiri kuwa watabadili katiba ili kumuongeza muda wakuongoza lakini sivyo itakuwa. Katiba yetu itabaki kama ilivyo ila Mh Rais Dr Magufuli ataongezewa muda kwa njia ambayo ipo ndani ya chama jambo litatupa room kumchaguwa yeye.
Msiniulize mchakato utakuwaje ila kwa wale wanasubiri urais 2025... Wasubirie 2030.....
Kwaherini
MAGUFULI NDIO HABARI YA MJINI. WENGINE TIA KULE
Haya ni matokeo ya kijisugulia chupi wakati wa kuoga..
 
Ukikumbuka ile hadithi ya bwana mjinga kwenye bibilia aliyesema sasa nimevuna chakula kingi ghalani nile ninywe na nistarehe
Mungu akamwambia hujui usiku wa leo nitatoa roho yako
ndio sawa na nyie mnaowaza JPM miaka ya 2030
 
Kwanza awali ya yote namshukuru Mungu kwa kutupa uzima. Nilikuwamachimbo nikijenga uchumi wa viwanda nakupata habari.
Sasa labda niwaambie tu wenye akili wengi wameona kazi nzuri ya mkuu wa taifa letu Dr JOHN Pombe Magufuli. Nakazi nzuri inafanyika kuhakikisha anamaliza kazi nzuri amezianzisha.

Sisi tulio wachache ambao tunaona kazi nzuri ya huyu rais basi tunazidi kuwapa matumaini nakuwataka tuungane kutimiza ndoto zakufikia uchumi wakati ambazo mkuu wa nchi ameanzisha.

Wapo watu wanafikiria vibaya nakufikiri kuwa watabadili katiba ili kumuongeza muda wakuongoza lakini sivyo itakuwa. Katiba yetu itabaki kama ilivyo ila Mh Rais Dr Magufuli ataongezewa muda kwa njia ambayo ipo ndani ya chama jambo litatupa room kumchaguwa yeye.
Msiniulize mchakato utakuwaje ila kwa wale wanasubiri urais 2025... Wasubirie 2030.....
Kwaherini
MAGUFULI NDIO HABARI YA MJINI. WENGINE TIA KULE
Kwani bado nafasi za UDC zipo ?
 
Bangi tunang'oa miche yake kila siku lakini waapi haiishi huyu naye kavuta ya Malawi nadhani bila kula inarevya vibaya sawa mkuu tumekusikia
 
Back
Top Bottom