comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,952
Ndugu wana jamiiforums je yote haya yanayosemwa humu juu ya kuongezewa miaka miwili iwe saba yawezekana kubadili katiba bila kura ya maoni ya watanzania wote?
tako yako

Na kama ni suala la kuibadili katiba ibadilishwe yote na sio kakipande hako tu! Ibadilini yote na kuweka huo ukomo wenu hata ikiwa ni maisha yote! Viraka vinatosha sasa.Kuna mtu anataka kujiongezea muda wa utawala kwa kujifanya hataki. Ila kifupi ndiye anashinikiza. Hatutakubali kubadili katiba kwa mtu kujilimbikizia madaraka
Kwani swala ni kushinda au kuteuliwa na tume?kwani nani amesema atashinda 2020?
Yani mpaka nimepaliwa aiseePeleka huko upumbavu wako
Kwanza awali ya yote namshukuru Mungu kwa kutupa uzima. Nilikuwamachimbo nikijenga uchumi wa viwanda nakupata habari.
Sasa labda niwaambie tu wenye akili wengi wameona kazi nzuri ya mkuu wa taifa letu Dr JOHN Pombe Magufuli. Nakazi nzuri inafanyika kuhakikisha anamaliza kazi nzuri amezianzisha.
Sisi tulio wachache ambao tunaona kazi nzuri ya huyu rais basi tunazidi kuwapa matumaini nakuwataka tuungane kutimiza ndoto zakufikia uchumi wakati ambazo mkuu wa nchi ameanzisha.
Wapo watu wanafikiria vibaya nakufikiri kuwa watabadili katiba ili kumuongeza muda wakuongoza lakini sivyo itakuwa. Katiba yetu itabaki kama ilivyo ila Mh Rais Dr Magufuli ataongezewa muda kwa njia ambayo ipo ndani ya chama jambo litatupa room kumchaguwa yeye.
Msiniulize mchakato utakuwaje ila kwa wale wanasubiri urais 2025... Wasubirie 2030.....
Kwaherini
MAGUFULI NDIO HABARI YA MJINI. WENGINE TIA KULE
Cra.pKwanza awali ya yote namshukuru Mungu kwa kutupa uzima. Nilikuwamachimbo nikijenga uchumi wa viwanda nakupata habari.