miwani ya maisha
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,733
- 2,516
You guys mpoje??? Hii nayo inatolewa press na ikulu??? Mambo ya kiccm mnatuletea hovyo kabisa
kwani Msigwa ni msemaji wa Humphrey Polepole?
hawa ccm ni hovyo kabisa
You guys mpoje??? Hii nayo inatolewa press na ikulu??? Mambo ya kiccm mnatuletea hovyo kabisa
shithole - kitu kichafu, cha ovyo ovyo. Hivyo tafsiri isiyo rasmi shithole countries maana yake nchi chafu zisizo na mbele wala nyuma. Ni kauli ya hivi karibuni ya rais Trump dhidi ya mataifa ya kiafrika na Carribean.Ndiyo nini mkuu?
nimeandika hivyo kwasababu mjadala uliokuwepo ni kwamba muda uongezwe ili ninyi wana ccm mmsaidie ashinde tena 2020...hoja hii haipingiki kama ndio inayoongelewa mitaani na ninyi kina green. pia nimeona kama matumaini ya mtu fulani a nayeamin akiongezewa miaka mingi hiyo atatawala miaka mingi zaidi. usifiche ukweli, funguka na usiwe mnafiki.Umeambiwa kutoka miaka mi 5 hadi 7, haujaambiwa kutoka kumi hadi 12 or so! Nyumbu wewe. Tatizo unasoma kwa hasira na nia ovu...
Kwa namna yoyote kuongeza kutoka miaka mi 5 hadi 7 ingewezekana maana yupo madarakani tayar...
Muulize aliyemtumaKwa anamjua aliyeanzisha MJADALA wa kuongeza kipindi cha Urais kutoka MIAKA 5 na kuwa MIAKA 7 atufahamishe.Napenda nimfahamu mtu huyu ili atusaidie kutueleza sababu za kuongeza muda.Maskini inawezekana Ana uelewa mpana mpaka kuanzisha mjalada huu.
Mujahidini Nkamia!Kwa anamjua aliyeanzisha MJADALA wa kuongeza kipindi cha Urais kutoka MIAKA 5 na kuwa MIAKA 7 atufahamishe.Napenda nimfahamu mtu huyu ili atusaidie kutueleza sababu za kuongeza muda.Maskini inawezekana Ana uelewa mpana mpaka kuanzisha mjalada huu.
Nadhani kuna mtu alitaka kuiga mambo ya Rwanda lakini akashauriwa kwamba atachemsha na kudharauliwa sana akianza vitabia vya kujifanya yeye ni bora kuliko viongozi wote waliomtangulia, ilihali ni mtu wa kawaida sanaKwa anamjua aliyeanzisha MJADALA wa kuongeza kipindi cha Urais kutoka MIAKA 5 na kuwa MIAKA 7 atufahamishe.Napenda nimfahamu mtu huyu ili atusaidie kutueleza sababu za kuongeza muda.Maskini inawezekana Ana uelewa mpana mpaka kuanzisha mjalada huu.
Hilo mbona tunalijua...mjadala wao wenyewe ndio wanauleta..ili kuwaandaa kisaikolojiaNaomba huu Uzi wangu utumike kama kumbukumbu kwa kizazi cha sasa na kile cha 2020 kuelekea 2025. Kwa ukweli ninaoujua hakuna Kiongozi aliyekataa kuongezwa kwa muda wa kukaa madarakani bali mnapigwa Chang's LA macho.
Suala limepangwa ipasavyo, ni ngumu kubaini ila ukweli mtaugundua ndani ya muda huo nilioutaja. Kuweni making msichezee na msikubali kuchezea amani ya Tanzania
Ni hayo tu
Hajakanusha, ila amesema hafurahishwi kuona watu wanajadiliAlikuwa wapi siku zote kukanusha kwa kutoa taarifa rasimi?
Mystery-ROSAMISTIKA kwa taarifa ya rais sasa tunajua siyo yeye wala CCM wanaotaka muda wa rais JPM kukaa madarakani uongezeke. Kama jambo hili likiwezekana basi litamhusu rais ajaye ambaye hatujui atatoka wapi- inawezekana akatoka CHADEMA ambako mwenyekiti wao amezoea kukaa madarakani bila ukomo au ataendelea kutoka CCM ambako wao sera yao ni miaka 5.Bora alivyotolea ufafanuzi.....
Sisi wengine tunaona lini atamaliza muda wake aende, halafu miccm eti inataka kumuongezea miaka mingine 2!