Kwani nani aliianzisha hoja hii ya kutaka mabadiliko ya sheria ya muda wa uongozi kama sio wabunge wa ccm wakiongozwa na yule dogo mrangi? Ina maana leo ndio kalisikia kwa mara ya kwanza? Semeni tu kuwa mlikuwa mnapima upepo ili kuona reaction ya wananchi na sasa mmeshajua hata hiyo miaka mitano ni mingi mno ipungue iwe miwili.
Hapa kuna kitu au vitu vinafunikwa kwani vinawasumbua sana hasa vikiendelea kuenea. Mosi, ni turn up ndogo ya wapiga kura katika chaguzi zilizofanyika na zilizokwisha kufanyika kuwa wachache. Pili, meli zinazokamatwa ughaibuni zikiwa na mihadarati na milipuko. Na tatu, ni hii taarifa ya imf ambayo sio habari njema!
Ingelikuwa busara kama polepole angekwenda kujadili hayo kuliko hili analotaka tulione kama jambo la maana!