Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

Wanabodi! Poleni na harakati za mwezi January ambazo zote zinapukutisha pesa.

Mnyetishaji wangu toka Ufipa ameniambia hivi sasa nae Freeman Mbowe yupo kwenye strategies za kuomba 'wasaa' walau akamuone Mh Rais. Hata hivyo kumekuwa na ukinzani toka upande wa pili.

Hivyo kwisha habari yao.

Stay connected!
Mleta hoja ni mkuda na mchonganishi!! Akamuone kutafuta nini?! Huyo yuko tayari kukutana na wapinzani wa nchi jirani si wa ndani!!
Hahahaaaaa mkuu kawaida hutoamini kabisa ila tarajia makubwa
Kwani yeye aliwahi kujua au hata kuota kuapishwa na hatimae kutawala kama si kuongoza??!!!
 
Mwenyekiti wa CCM anafanya kikao na katibu wake halafu kurugenzi ya ikulu inatujulisha.... haya ni matumizi mabaya ya ofisi (ikulu)
Lowasa(ccm B) alienda ikulu kufanya maongezi na Rais wa ccm A, kurugenzi ya ikulu ikajulisha, yalikuwa ni matumizi mabaya ya nini mkuu?
 
Inawezeka ujio wa polepole umechangia polepole kuongelea maswala ya kuongoze muda wa uraia?au wananchi wanaandaliwa kisaikolojia kuwa likija kutokea huku mbeleni ionekane ni wananchi wenyewe wanataka rais aongezewe muda na sio rais anataka?
Mbona heading na content vinatofautiana?, au ndo papara uwe wa kwanza kuanzisha thread dhidi ya pole pole?
 
Wanapima upepo kwa kuangalia response kutoka kwa wadanganyika

African leaders
 
Nasikia et huyu jamaa anachojua kusema ukwel ni jina lake tu. Ni mtu mwenye uchu na madaraka kwa mtazamo wang, anaprove hil kwa jins alivojitaid kuua demokrasia, ili abak bila mpinzan hatak kukosolewa ili watu wamuone perfect waendelee kumkubal, kuninya uhuru wa vyombo vya habar n.k. so nitashangaa km kwel anania ya kufata katiba me nadhan anapostipon tu ili iyo hoja iibuliwe kwenye muhura wa mwisho now its too soon
 
Inawezeka ujio wa polepole umechangia polepole kuongelea maswala ya kuongoze muda wa uraia?au wananchi wanaandaliwa kisaikolojia kuwa likija kutokea huku mbeleni ionekane ni wananchi wenyewe wanataka rais aongezewe muda na sio rais anataka?
Andika kwa mtiririko mzuri usiwe na haraka haraka.
 
Sio hafurahishwi na mjadala bali hafurahishwi na jinsi mjadala ulivyopokelewa na ulivyokuwa ukiendelea. Ni baadhi tu ya wanaCCM ndio walikuwa nyuma ya huu ujinga, ila wengi wao na wananchi kwa ujumla hawajaukubali.
 
Mleta hoja ni mkuda na mchonganishi!! Akamuone kutafuta nini?! Huyo yuko tayari kukutana na wapinzani wa nchi jirani si wa ndani!!

Kwani yeye aliwahi kujua au hata kuota kuapishwa na hatimae kutawala kama si kuongoza??!!!
Nashangaaa aniamini
 
Anatuzuga tu lkn kwa pembeni ameshatawanya watu wake ili kuipa nguvu hiyo hoja.....# i hate my country
 
Ziara za viongozi wetu na camera zimegia wapi?
Makenikia
 
Back
Top Bottom