ameivuruga kwa kwenda mbele leo anatudanganyaKatiba ipi hiyo haivunjwi?
ameivuruga kwa kwenda mbele leo anatudanganyaKatiba ipi hiyo haivunjwi?
Nadhani ya sisiemuKatiba ipi hiyo haivunjwi?
afadhali umeleta kumbukumbu ya rafiki yakeSio polepole akawaambie ,yeye awaambie wabunge direct kwamba hataki mapambio yao ya atake asitake! Polepole ndio wale wale.
Hata Kagame alisema hivyo hivyo.
Nayo anaivunja kwa kuwachagua wagombea wa ubungeNadhani ya sisiemu
Mimi nipo hapa Kampala hivyo hii habari ni kama marudio kwani hata sisi waganda tuliwahi kuambiwa hayo
Inawezekana (kwa sasa) anamaanisha anachokisema, tatizo la viongozi wengi wa kiafrika wanabadilika kutokana na mazingira na tamaa.Simwamini katu!
Wewe unamshauri vipi Bwashee?Juma Nkamia ni mstaafu
Ally Kessy ni mstaafu...
Kama ni Kweli ,Raisi aseme mtu yeyote ,kiongozi au mbunge,akisema Mambo ya kuongeze muda akamatww na apewe kesi ya utakatisjaji na uhujumu uchumi.mzaha si mzaha..hehehe
Sio kwamba mkulu ametanguliza chambo?Juma Nkamia ni mstaafu
Ally Kessy ni mstaafu...
Time abd again amevunja katiba bila haya, hili la kuongeza muda halitamshinda kamwe. Hawezi akafanya atrocities hizi zote akeng'atukaMagufuli hataongeza muda, na kasema hili mara nyingi.
Ameshagundua kwamba urais si kitu rahisi kama alivyofikiria awali. Anaombea miaka yake ipite astaafu.
Ukitaka kutomuamini utakuwa humtendei haki.
Haya maneno ya rais kuongeza muda yalisemwa hata kwa Kikwete. Hakuimongeza.
Wapinzani wa Magufuli wanaoshupqlia habari hii wanajionesha hawana hoja.
Magufuki ana makosa mengi sana, qmbayo kashayafanya. Kuna ushahidi kwamba kayafanya.
Kwa nini mnaenda kumshupaliq kwa makosa ambayo mnafikiri atqyafanywa mwaka 2025? Licha ya yeye kuweka rekodi sawa kwamba hatafqnya makosa hayo mara kadhaa?
Mimi sikubaliani na Magufuli kwenye mambo mengi sana.
Lakini kwenye hili la kumhukumu mtu kwa kosa ambalo hajalitenda, nataka kumtetea Magufuli.
Mnamuonea buree.
Ni sawa na mtu kukujia wewe halafu kukuambia wewe uso wako umekaa kiwizi wizi, kuna hela utaiba mwaka 2025. Tukufunge mapema ili usiweze kuiba hizo hela mwaka 2025.
Utaona hukumu hiyo inayotolewa kabla hujafanya kosa kuwa ni sawa?
andika......Yani natamani niandike kitu ila nashindwa
Da sijui sasa atakuwa anamaanisha nini?Nayo anaivunja kwa kuwachagua wagombea wa ubunge