Humphrey Polepole, una sifa za kuwa Rais wa Tanzania

Kuna watu hawajahi kumuelewa Nyerere na hawamuelewi Polepole wala msaada wako Pascal Mayalla hawauelewi

Akili zao hazikubaliani na ukweli ila zinakubaliana na kile wanachokitaka wao

Humphrey Polepole ni hazina tumpe maua yake angali hai
amina!.
P
 
Hivi unawafahamu Watanzania walivyo na mimi nikiwemo? We are very stpd to the highest level. Yaone tu yanavimbisha vichwa ukazani yana akili. East Africa nchi yenye watu wenye akili timamu ni Kenya pekee
 
Huyu huyu ambaye awamu ya 5 alikuwa anasimamia na kuratibu ufisadi mkubwa wa kutumia fedha za walipa Kodi maskini kununua wanachama, madiwani na wabunge wa upinzani?!
 
Msidanganyane humu. Huyo mgonjwa wa UKIMWI ambaye ni Balozi wetu Cuba hawezi kuwa Rais wa Tanzania.

Ukimuona kobe kwenye mti ujuwe kuna mwenyewe. Huyu Polepole alipandishwa na Magufuli kutekeleza matakwa ya kisiasa ya Magufuli. Polepole ni mtu asiye na msimamo wa anachokiamini
 
Naunga mkono hoja
 
Sasa si atakuwa kama Jiwe aharibu Kila kitu?

Kama mnataka kuishi kama digidigi chagueni huyo mjamaa

Kama mnataka kuwa ma jobless chagueni huyo mjamaa

Kama mnataka kuendelea kufarijiwa Kwa propaganda za mabeberu huku wawekezaji wanakimbia chagueni huyo mjamaa

Kama mnataka kuishi Kwa kupelekeshwa kama mapunda chagueni huyo mjamaa

Kama mnataka kupotea pesa zenu.na kubambikiziwa Kodi,kesi nk chagueni huyo mjamaa

Kama mnataka kurudi kulee ambako mazao yote yataporomoka bei,Watalii qatasita kuja,watu wote kuwa machinga,kukimbilia Ajira ya serikali Kwa sababu kujiajiri hakulipi chagueni huyo mjamaa..

Niliwanyo Kwa Mwendazake na Sasa nawaonya tena ,Hawa watu wa dini hii nyingine Huwa ni wavurugaji wa Maisha ya watu.
 
Dini gani ?
 
Awe rais wa makallio yakox
 
Wamemtoa Malawi yuko Amerika Kusini, naona blabla zake zitaishia Atlantic ocean
 
Mafisadi hawamkubali maana ndo itakuwa mwisho wao!!
Polepole ni fisadi mkubwa ni kwa vile magufuli amekufa. Alipopata mwanya wa kuwa fisadi alikuwa fisadi hasa. sasa kimekosa kinajitia kijamaa, stupid! Kilikuwa kijitu cha hovyo kabisa, mnaokishabikia nadhani mna undugu nacho takataka
 
Kuna watu hawajahi kumuelewa Nyerere na hawamuelewi Polepole wala msaada wako Pascal Mayalla hawauelewi

Akili zao hazikubaliani na ukweli ila zinakubaliana na kile wanachokitaka wao

Humphrey Polepole ni hazina tumpe maua yake angali hai
Thanks mama D . Ukweli ni kwamba kamwe hawajamwelewa, hawawezi kumwelewa, na hawatakuja kumwelewa hata wangepewa miaka 1000 ya kuishi duniani.

Tuna jamii kubwa ya watu ambao silika yao ni kama ngurukia (parasite); uhai wao hutemgea 100% juhudi za wengine moja kwa moja. Hawawezi kutahafifu (survive) bila wao.

Sasa, swali la msingi ni kwamba iwapo uhai wao umefungamana kiasi hicho na ule wa wengine, wataweza kweli kuwa na fikra tanuku na huru? Jibu la wazi ni hapana. Lazima tu hao wawe bendera-fuata-upepo!
 
Polepole ni fisadi mkubwa ni kwa vile magufuli amekufa. Alipopata mwanya wa kuwa fisadi alikuwa fisadi hasa. sasa kimekosa kinajitia kijamaa, stupid! Kilikuwa kijitu cha hovyo kabisa, mnaokishabikia nadhani mna undugu nacho takataka
Waswahili husema, ^Maneno matupu hayavunji mfupa.^ Pia ^Mkono mtupu haulambwi.^ Where is the evidence Mr Retired General Jealous πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
Huyu naweza nikamkubali maana naamini ataendeleza falsafa za magufuli.
Mheshimiwa Polepole popote ulipo please go for it.
Kiingereza kwa msisitizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…