Humphrey Polepole, una sifa za kuwa Rais wa Tanzania

Mkakati sure wa kumng’oa Polepole toka CCM mapemaa tena bila mikwaruzo. Manake nje ya CCM anakuwa samaki jangwani. Kelele kuhusu wahuni zinageuka sauti ya mtu aliaye nyikani; wasikilizaji nyani, tumbili na fisi! Mama anaupiga mwingi 🤔😃
 
Weee toa maoni yakoweeeeee lakini uhakikishe huyo slow slow wako anakuwa ama mwislamu au mkatoliki kisha ndo uje kumtabiria urais. Hakikisha pia hatoki Kaskazini.
 
Usikariri maisha, mkuu. Dunia inapiga hatua, tena kwa kasi sana. Believe it or not, 2025 inapofika, mambo yatakuwa tofauti sana. The world is fast changing, and changing for good it does!

NB: Nimeweka Kimalkia kwa msisitizo.
cc: Demi
 
Weee toa maoni yakoweeeeee lakini uhakikishe huyo slow slow wako anakuwa ama mwislamu au mkatoliki kisha ndo uje kumtabiria urais. Hakikisha pia hatoki Kaskazini.
Endelea kuota tu, mkuu. Ukiamka usingizini, uje maake ulimwengu uko huku. 🙂
 
Usikariri maisha, mkuu. Dunia inapiga hatua, tena kwa kasi sana. Believe it or not, 2025 inapofika, mambo yatakuwa tofauti sana. The world is fast changing, and changing for good it does!

NB: Nimeweka Kimalkia kwa msisitizo.
cc: Demi

Hamna aliyewahi kuichagulia Tanzania Rais
Mapenzi ya Mungu huwa na yatakuwa
 
Polepole huyu huyu aliesaliti mchakato wa katiba baada ya kulambishwa asali.
Weka akiba ya maneno, mkuu. In five or so years to come, wengi watakuja kutembelea nyota ya HP, kama ambavyo akina Waitara na Dr Slaa hivi majuzi walibahatika kutembelea nyota ya Mr Chuma.
 
Wewe ni mmoja wa wajinga wanaotembea na mzigo kwenye nchi hii

Kwa zile Siasa za kishenzi alizoendesha ndani ya nchi hii kwa kushirikiana na Magufuli, atasubiri sana. Hilo jizi la kura unalolipigia debe ni kama unapoteza tu muda.
 
Kuna watu hawajahi kumuelewa Nyerere na hawamuelewi Polepole wala msaada wako Pascal Mayalla hawauelewi

Akili zao hazikubaliani na ukweli ila zinakubaliana na kile wanachokitaka wao

Humphrey Polepole ni hazina tumpe maua yake angali hai
Tumpe maua mshenzi wa aina yake? Sifa aliyojijengea kwenye tume ya Jaji Warioba aliopoteza kirahisi kwa kushiriki siasa za kuhayawani za awamu ya Magufuli. Yaani saa amegeuka ni kinyaa.
 
Tumpe maua mshenzi wa aina yake? Sifa aliyojijengea kwenye tume ya Jaji Warioba aliopoteza kirahisi kwa kushiriki siasa za kuhayawani za awamu ya Magufuli. Yaani saa amegeuka ni kinyaa.

Mshenzi kwako
 
Usikariri maisha, mkuu. Dunia inapiga hatua, tena kwa kasi sana. Believe it or not, 2025 inapofika, mambo yatakuwa tofauti sana. The world is fast changing, and changing for good it does!

NB: Nimeweka Kimalkia kwa msisitizo.
cc: Demi
Changing for good kwa Polepole kuwa Rais wa JMT? What a nasty joke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…