Uchaguzi 2020 Humphrey Polepole: Upinzani walitaka kuandamana Zanzibar ikashindikana, wamekuja huku bara

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
KATIBU MWENEZI wa CCM, Ndg. Humphrey Polepole, amewashukuru Watanzani kwa kukipa chama hiko kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kupelekea kushinda kwa kishindo.

Aidha ametoa ratiba ya Rais Magufuli ambapo anatarajiwa kupokea hati ya ushindi kutoka NEC siku ya kesho, Novemba 1, na siku ya Jumatano, Novemba 4, Rais Magufuli, anatarajiwa kuapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Asante sana Watanzania wote kwa kumchagua kwa kishindo, kura 84% ni kielelezo cha heshima, upendo na imani ya kiwango cha juu kwake, Magufuli anasema mmempa deni kubwa na anawaahidi atafanya kazi kwa bidii katika huu muhula wa pili

Matokeo ambayo tumeyapokea kutoka Tume Uchaguzi mpaka jana ni kwamba CCM imeshinda maradufu katika nafasi ya Urais, lakini tumepata karibu viti vyote vya ubunge, uwakilishi na udiwani kwetu sisi hili ni deni kubwa ni heshima kubwa sana

Kesho siku ya Jumapili Asubuhi, Ndugu yetu John Pombe Joseph Magufuli mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM na Rais mteule wa Tanzania, atapokea hati yake ya uteuzi kule jijini Dodoma, hafla hiyo itakuwa na watu wachache sana, hawatazidi watu 400.

Kama kuna mtu anataka aandamanishe watu unagundua kabisa yuko kinyume na ustawi wetu, sababu sote tumeshiriki kikamilifu na wote tumeshuhudia mshindi amepatikana na wote tumekiri, ukishindwa kubali kuvumilia inawezekana Watanzania wametuelewa zaidi

Mahali pengi walipokuwa viongozi wa upinzani manguli tuliweka watu wadogo wadogo na wameshinda kwa kishindo, pale Arusha tulimweka Gambo amemgalagaza huyu bwana aliyekaa miaka kadhaa, pale Hai tumemweka kijana mdogo tu amemgalagaza

Polepole.jpg
 
Huku itawezekana. Ila Sasa mtamponza Siro wa watu aende ICC.

Kamanda Siro ukwepe mtego huu kamanda. Utaacha familia yako wao watabaki wanakula kuku kwa mrija.
 
KATIBU MWENEZI wa CCM, Ndg. Humphrey Polepole, amewashukuru Watanzani kwa kukipa chama hiko kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kupelekea kushinda kwa kishindo.

Aidha ametoa ratiba ya Rais Magufuli ambapo anatarajiwa kupokea hati ya ushindi kutoka NEC siku ya kesho, Novemba 1, na siku ya Jumatano, Novemba 4, Rais Magufuli, anatarajiwa kuapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kesho siku ya Jumapili Asubuhi, Ndugu yetu John Pombe Joseph Magufuli mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM na Rais mteule wa Tanzania, atapokea hati yake ya uteuzi kule jijini Dodoma, hafla hiyo itakuwa na watu wachache sana, hawatazidi watu 400.

expand...
Ni mataahira (mental retards) pekee ndiyo wanaweza kushangilia eti CCM na Magufuli wameshinda uchaguzi huu wa 2020.
 
Kila la kheri Rais John Joseph Pombe Magufuli

Wapinzani kama kweli wako serious wasusie na Ruzuku zinazotokana na matokeo haya wanayoyaita batili

Mnyika yuko smart sana , bora yeye alichagua kuwa Mbunge Mstaafu, sio hawa kina Zitto na Mbowe ambao ni wabunge wa zamani
 
KATIBU MWENEZI wa CCM, Ndg. Humphrey Polepole, amewashukuru Watanzani kwa kukipa chama hiko kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kupelekea kushinda kwa kishindo.

Aidha ametoa ratiba ya Rais Magufuli ambapo anatarajiwa kupokea hati ya ushindi kutoka NEC siku ya kesho, Novemba 1, na siku ya Jumatano, Novemba 4, Rais Magufuli, anatarajiwa kuapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kesho siku ya Jumapili Asubuhi, Ndugu yetu John Pombe Joseph Magufuli mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM na Rais mteule wa Tanzania, atapokea hati yake ya uteuzi kule jijini Dodoma, hafla hiyo itakuwa na watu wachache sana, hawatazidi watu 400.

Chakub...
 
Asante sana kwa habari, ila kwa heshima na kwa unyenyekevu mkubwa naomba ubadilishe jina.
 
Back
Top Bottom