Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Wewe siku hiyo lalazako tu nyumbani, sisi tutakuwakilisha kwenye hayo maandamano usihofu.Sisi wakazi wa Dar hatutaki fujo, uchaguzi ushaisha tupo busy na kazi, tunajenga nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe siku hiyo lalazako tu nyumbani, sisi tutakuwakilisha kwenye hayo maandamano usihofu.Sisi wakazi wa Dar hatutaki fujo, uchaguzi ushaisha tupo busy na kazi, tunajenga nchi.
Hii ni nchi yetu sote ndio mana tuna raisi mmoja tu JPM.Wewe njoo tukutane tarehe 2 ili Polepole nawana CCM kama nyinyi mjue hii ni nchi yetu sote.
Kaandamane wewe uliyekwazwa, mimi nikaandamie nini.Semea nafsi yako ndugu Mataga, tunachotaka ni maandamano, kama akili yako imetafsiri kuwa ni fujo basi pole sana
CCM wote akili zao zinafanana.Kwanini hakuibadilisha
Wakazi wa dar au wakazi wa lumumba?Sisi wakazi wa Dar hatutaki fujo, uchaguzi ushaisha tupo busy na kazi, tunajenga nchi.
Wewe na nani pumbavu 😡Sisi wakazi wa Dar hatutaki fujo, uchaguzi ushaisha tupo busy na kazi, tunajenga nchi.
Hawatazidi Watu 400?
Poa poa, comrade!Basi ameshinda Lissu mkuu
Tukutane tare 2, ili tuichome moto ile V8 yake anayotuulizaga kama tunaifaham.
Na MIGAHuku itawezekana. Ila Sasa mtamponza Siro wa watu aende ICC.
Kamanda Siro ukwepe mtego huu kamanda. Utaacha familia yako wao watabaki wanakula kuku kwa mrija.
Kwanini hakusaidia ipatikane anayoona inafaa?
Mwl Nyerere angekuwa na akili kama zako ungekuta bado tupo utumwaniBora mngetangaza maandamano ya popote ulipo andamana kivyako vyako
Lakini hii ya kukutana sijui wapi kisha mnaelekea ofisi za Tume
Yale yale ya akwilina
Mnaandamana hata kilomita moja amfiki mnasikia ilani ilani ilani ukigeuka nyuma yako hakuna zito, hakuna Mbowe wote wameshakula kona kitambo
Wanakutanguliza mbele ww kabwela una mbele wala nyuma ukapigwe virungu na risasi za moto
Kisha wana siasa wapate mtaji wa kisiasa kimataifa
Ww kabwela ukiwa tayari tumeshakupanda tuta makaburi ya Kisutu
[emoji3577][emoji263][emoji3577]
Tafakuri,,
Siiiiiii
Umesikia risasi zote zilizopigwa Pemba hakuna hata risasi moja iliyompiga maalim seif wala familia yake
Chizi anayetaka kufa atoke aende aandamane ili Mbowe, Lissu, zito wapate pa kuanzia ( mtaji wa kukaa mezani na ccm..
Hakuna atakayeweza kuandamana sana sana labda kikundi kidogo tu cha wanasaccos.Huku itawezekana. Ila Sasa mtamponza Siro wa watu aende ICC.
Kamanda Siro ukwepe mtego huu kamanda. Utaacha familia yako wao watabaki wanakula kuku kwa mrija.
Andamana nikupige pipe huko nyumaSemea nafsi yako ndugu Mataga, tunachotaka ni maandamano, kama akili yako imetafsiri kuwa ni fujo basi pole sana
Kwa mwalim Nyerere kulitumika hoja za kisomi sio maandamanoMwl Nyerere angekuwa na akili kama zako ungekuta bado tupo utumwani