Mwamba wa Kifo
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 268
- 164
Ngumu kumezaUkiwa unajifanya mwelevu saana,Kuna wakati utapitiliza nakuonekana mjinga,,welevu Ni wazungu wametukandamiza na kuiba rasilimali Mali zetu kipindi chote Cha ukoloni,,na hatujawahi kuandamana kudai Mali zetu,,tunawaenzi vip mashujaa wetu ikiwa Kama hatutaki unafiki,,