Uchaguzi 2020 Humphrey Polepole: Upinzani walitaka kuandamana Zanzibar ikashindikana, wamekuja huku bara

Weee endelea kulalamika mi nakusubilia pale shauri moyo Niko na KY jell yangu kabisa kuja kukutapisha kimba
Niletee hio ky nikupige mashine mzee. Maana unaonekana unataka kunipa hio Tigo nakusihi tu mi natumia.
 
Ni mataahira (mental retards) pekee ndiyo wanaweza kushangilia eti CCM na Magufuli wameshinda uchaguzi huu wa 2020.
Ni wahuni pekee wasiokubali ushindi huu wa kishindo
 
Reactions: Ole
Niletee hio ky nikupige mashine mzee. Maana unaonekana unataka kunipa hio Tigo nakusihi tu mi natumia.
Ndio utajua ujui........si lissu kakuchumbia ..........uku utapakwa hata jasho ili upigwe nao......
 
Sisi wakazi wa Dar hatutaki fujo, uchaguzi ushaisha tupo busy na kazi, tunajenga nchi.
Sema wewe mataga sio sisi, Mimi naenda kutimiza haki yangu ya kikatiba ya maandamano ya amani kupinga mauwaji ya kisiasa.mf Tarime, Songwe, Zanzibar mbeya nk..
 
Nilitamani kumsikia akitoa salamu za pole kwa familia zilizopoteza ndugu zao lakini hakufanya hivyo, naamini ila siamini kuwa nafsi zetu thamani yake inatokana na mrengo wa siasa tuliopo. Linapokuja suala la uhai kupotea tukemee ila tukiuliza aliyepotea ni chama gani tujue tupo njiana kuuliza ni kabila gani, koo gani, jinsia gani nk
R.I.P wale wote waliopoteza uhai wakati wa harakati za binadamu daraja la kwanza kutafuta uheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…