Humphrey Polepole usipotoshe umma, waliofanya maandamano wote walikuwa CHADEMA

Humphrey Polepole usipotoshe umma, waliofanya maandamano wote walikuwa CHADEMA

Na Mashinji anasikiliza ukweli unavyopindishwa.
Amesimama utafikiri amebanwa na call 1 kama sio Call 2
Moyoni anajutia

Wamejidanganya

Mchezo ulikuwa hivi mashtaka yapunguzwe faini iwe kubwa au jela wakijua Mh Mbowe na wenzie watashindwa kulipa faini Mashinji watajidai wamelipa faini ( wakati tunafahamu hawajalipa hata ndululu) Wakiamini ni mwisho wa Chadema Upinzani utakufa rasmi then akina bashite waringe imekula kwao

Muziki waliouanzisha wameshindwa kuucheza midomo imekuwa mizito

WATAJUUUUUUUTA kudanganywa
 
Wameipa Chadema Nafasi ya kufanya kampeni. Wachangiaji wameeleza ndugu zao ni kwanini wamechangia pesa.
 
CCM wana michezo ya kijinga sana, wanafunga upinzani alafu wanafunga na wao moja makusudi ili wamtoe waseme mbona na wao alifungwa, wanajua fika waliichohukumiwa CDM ni upuuzi, na wamezungushwa miaka yote ili waje wafungwe karibia na uchaguzi. Polepole siku hizi kawa msemaji wa serikali? karibia kila kisa anakuwepo kujibu, akiwa kama nani? Yeye si anahusika na mambo ya CCM peke yake?

Huu ndiyo mchezo jiwe anawachezea kuhusu kuongeza miaka ya urais, anajifanya kusema hataki hataki, huku kimya kimya watu wanatumwa kwenda kufungua kesi mahakamani kujifanya machizi kua wanasupport tu, mwisho wa siku utasikia wananchi wapewe wanachotaka muda unaongezwa alafu utashangaa jiwe anakua wa kwanza kujitokeza kusema aongeze muda.

Wabongo mnachezewa akili tu na kwa kua wengi vilaza hakuna hata haja ya kuumiza kichwa sana, simple idea work effectively na wakikushtukia wewe taja jina la mungu tu watakuamini, wasipoamini nenda kanisani na video camera jionyeshe unakusanya sadaka kazi kwisha hadi hapo majority wanaunga mkono.
 
Back
Top Bottom